Je, kwanini Yanga hawaumii na mechi waliyopoteza?

Je, kwanini Yanga hawaumii na mechi waliyopoteza?

Kusema ukweli, tulifungwa kwa makosa madogo sana ambayo yanarekebishika, hatukuzidiwa ktk mchezo bali makosa yetu wenyewe ndiyo yaliyotuadhibu.

Tusonge mbele kwa kuitazama mechi ijayo, ni mechi ya msingi zaidi na makosa hayapaswi kurudiwa nyumbani.

Hizo ndizo akili zetu Wanayanga, hatukati tamaa bali kusonga mbele daima.
B..., yaani kipigo cha goli tatu kwa bila mnasema ni cha makosa madogo madogo? Basi ingekuwa 3-2 siyo 3-0.

Ova
 
Back
Top Bottom