Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Jumamosi simba sc na yanga sc wote watashinda mechiz zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
B..., yaani kipigo cha goli tatu kwa bila mnasema ni cha makosa madogo madogo? Basi ingekuwa 3-2 siyo 3-0.Kusema ukweli, tulifungwa kwa makosa madogo sana ambayo yanarekebishika, hatukuzidiwa ktk mchezo bali makosa yetu wenyewe ndiyo yaliyotuadhibu.
Tusonge mbele kwa kuitazama mechi ijayo, ni mechi ya msingi zaidi na makosa hayapaswi kurudiwa nyumbani.
Hizo ndizo akili zetu Wanayanga, hatukati tamaa bali kusonga mbele daima.