Je, kweli dunia ni duara?

Kule ni pazito inabidi ujipange kwanza ndio uingie
 
Watu wa flat earth wanapinga vitu vingi, kwamba hakuna satelite hakuna space, sasa sijui kwao hata wana amini dunia ilianzaje
Hapo kwenye satellite sio kweli.. labla inagemea na mada husika kuhisu hilo lakini wanachoamini flat earth ni kuwa Dunia si duara ikiwa wanamaanisha Dunia ni ardhi ndio duniani na ardhi ni tambarare ambayo iko juu ya maji hilo duara unaloliona juu matabaka ambayo yameizunguka duniani na ndio tunaita mbingu, heaven..
 
satelite inafanya kazi kwa kuizunguka dunia, pia inahitaji gravitational pull ya dunia ambayo flat earth hawa amini kwenye gravity
 
Sawa haina tatizo tuambieni Mkunjo wa Duara kwenyr Dunia Unaanzia wapi
 
satelite inafanya kazi kwa kuizunguka dunia, pia inahitaji gravitational pull ya dunia ambayo flat earth hawa amini kwenye gravity
Hapana satellite haiwezi kuizunguka dunia hata mimi naamini hivyo hii ni kwa sababu na nadharia ya umbo la kitu husika DUARA AND TAMBARARE havifanani ndio maana hatuamini kama inazunguka na ndio maana ni rahisi satellite ikaripuka angani na ikawa rahisi mabaki yake kutabirika mahali yanapoenda kuangukia uko hapo.
 
Kitu ambacho hakina umbo maalum au hakina umbo kabisa, ndiyo ninavyoelewa
naam. bilashak umenielewa . Maan tukisha ingia kweny Triangle ulikosema, tunaingia kwenye maumbo. Ila shapeless inahusian na kuwa ni umbo ambalo halielezek lilipo lilipo kimtindo.

Note: ni mtazamo wangu.
 
yanatabirika yanapotua kwa sababu gravity ya dunia inaichukua na satelite hivyo wana predict jinsi ilipo na ikidondoka itatua wapi ,
 
Mpaka karne hii unaanzisha mada za kitoto hivi, high iq gani but naahitajika kwenye hilo swali lako?
 
Mpaka karne hii unaanzisha mada za kitoto hivi, high iq gani but naahitajika kwenye hilo swali lako?
Sawa haitaki HIGH IQ na mada ni kitoto aya leta jibu sasa usilete maneno
 
Wanaoamini dunia ni flat ni wajinga tu, wanauelewa mdogo wa mambo,


Waulize tu, umbali wa Japan na Marekani, na why East Cost ya Amerika iko karibu na Europe while West Cost iko karibu na Japan/China/Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…