Je, kweli dunia ni duara?

Je, kweli dunia ni duara?

Haya tunawaacha nyie wa chatgpt mshindane....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkotaka majibu mnajua pa kututafuta tupo kule miaka na miaka mpak sasa hakuna nyoko wowote wa kubisha bisha...

Nb: ukija kule intelligence hakikisha unakuja na dawa ya kuchua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kule ni pazito inabidi ujipange kwanza ndio uingie
 
Watu wa flat earth wanapinga vitu vingi, kwamba hakuna satelite hakuna space, sasa sijui kwao hata wana amini dunia ilianzaje
Hapo kwenye satellite sio kweli.. labla inagemea na mada husika kuhisu hilo lakini wanachoamini flat earth ni kuwa Dunia si duara ikiwa wanamaanisha Dunia ni ardhi ndio duniani na ardhi ni tambarare ambayo iko juu ya maji hilo duara unaloliona juu matabaka ambayo yameizunguka duniani na ndio tunaita mbingu, heaven..
 
Hapo kwenye satellite sio kweli.. labla inagemea na mada husika kuhisu hilo lakini wanachoamini flat earth ni kuwa Dunia si duara ikiwa wanamaanisha Dunia ni ardhi ndio duniani na ardhi ni tambarare ambayo iko juu ya maji hilo duara unaloliona juu matabaka ambayo yameizunguka duniani na ndio tunaita mbingu, heaven
satelite inafanya kazi kwa kuizunguka dunia, pia inahitaji gravitational pull ya dunia ambayo flat earth hawa amini kwenye gravity
 
Also circumnavigation of the earth prove that the earth is a sphere, that why when some one move by maintain a same direction at a long distance at the end he or she turn on original position, this was proved on physical geography well.

Another reason nikuchomoka na kuzama kwa jua, jua Lina chomokea west linazama east , this is because of the earth rotation on its axis
Sawa haina tatizo tuambieni Mkunjo wa Duara kwenyr Dunia Unaanzia wapi
 
satelite inafanya kazi kwa kuizunguka dunia, pia inahitaji gravitational pull ya dunia ambayo flat earth hawa amini kwenye gravity
Hapana satellite haiwezi kuizunguka dunia hata mimi naamini hivyo hii ni kwa sababu na nadharia ya umbo la kitu husika DUARA AND TAMBARARE havifanani ndio maana hatuamini kama inazunguka na ndio maana ni rahisi satellite ikaripuka angani na ikawa rahisi mabaki yake kutabirika mahali yanapoenda kuangukia uko hapo.
 
Kitu ambacho hakina umbo maalum au hakina umbo kabisa, ndiyo ninavyoelewa
naam. bilashak umenielewa . Maan tukisha ingia kweny Triangle ulikosema, tunaingia kwenye maumbo. Ila shapeless inahusian na kuwa ni umbo ambalo halielezek lilipo lilipo kimtindo.

Note: ni mtazamo wangu.
 
Hapana satellite haiwezi kuizunguka dunia hata mimi naamini hivyo hii ni kwa sababu na nadharia ya umbo la kitu husika DUARA AND TAMBARARE havifanani ndio maana hatuamini kama inazunguka na ndio maana ni rahisi satellite ikaripuka angani na ikawa rahisi mabaki yake kutabirika mahali yanapoenda kuangukia uko hapo.
yanatabirika yanapotua kwa sababu gravity ya dunia inaichukua na satelite hivyo wana predict jinsi ilipo na ikidondoka itatua wapi ,
 
Mpaka karne hii unaanzisha mada za kitoto hivi, high iq gani but naahitajika kwenye hilo swali lako?
 
Wanaoamini dunia ni flat ni wajinga tu, wanauelewa mdogo wa mambo,


Waulize tu, umbali wa Japan na Marekani, na why East Cost ya Amerika iko karibu na Europe while West Cost iko karibu na Japan/China/Russia
 
Back
Top Bottom