Je, kweli dunia ni duara?

Kwani yai lina gravitational force??
 
Huu mwandiko tu unaonyesha uwezo wako wa kufikiri,

Pole Sana, nadhani uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa,

Hata ukielekezwa huwezi elewa, uwezo mdogo
 
Sijamaanisha hivyo ila Sijafungwa Kuuliza Kuhusu Utetezi mnaotoa..

Reasoning ndo huleta Facts na Sio kukubali Hoja kama Doctrine ya Imani fulani
Facts za kuthibitisha kuwa dunia ni duara zipo nyingi sana(natumai unazijua)
Kwa teknolojia ya sasa mtu anayedai dunia ni flat aidha hana elimu hata ya msingi au ni mgonjwa wa akili.
 
Huu mwandiko tu unaonyesha uwezo wako wa kufikiri,

Pole Sana, nadhani uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa,

Hata ukielekezwa huwezi elewa, uwezo mdogo
Okay.. hapa tupo kwa ajiri ya kupeana maalifa nasi kuleta dhihaka zako sawa genius.. HIGH IQ umeshinda
 
Myahudi hujaelewa Nini ?
Manaake ukiondoa mwisho wa upeo wa macho yako mkunjo haupo ..
Hebu Tuzungumze kama Wasomi..

Unajua Swala la Sphere Earth limekaa Kisaokolojia sana na ndo maana Hata weww Umeniambia upeo wa Macho 🤣🤣
So umekubali Kuwa Earth as Sphere is Psychological and Cultural Factors more than The reality...the spherical Earth model is part of a vast conspiracy to hide the true nature of the Earth from the public.
 
Facts za kuthibitisha kuwa dunia ni duara zipo nyingi sana(natumai unazijua)
Kwa teknolojia ya sasa mtu anayedai dunia ni flat aidha hana elimu hata ya msingi au ni mgonjwa wa akili.
Lets Discuss One on one Now And Make the Truth Out..
 
Yeah nimekubali
 
Okay.. hapa tupo kwa ajiri ya kupeana maalifa nasi kuleta dhihaka zako sawa genius.. HIGH IQ umeshinda
Yani tunabishana tunashushiana hadhi kwa vitu ambavyo vyote ni theory tu, dunia inaweza kuwa duara au flat au sio vyote
 
Sumaku inagandisha vitu, sasa mbona sisi hatugandi tunatembea kwa uhuru!?.
(Gravitation | Magnetism)
Gravity. haina nguvu kubwa kama magnet lakini inafika mbali zaidi kutoka duniani inaenda mpaka karibu 1 billion km na inavuta chochote chenye uzito
magnet. ina nguvu kali ila inaishia karibu sana na kulingana na aina ya magnet na umbo lakini ni nguvu yake ni ndani ya meter kadhaa na inavitu maalum ambavyo inaviasili.
 
Sayansi ilotuambia binadamu katokana na nyani, mbona nyani wa sasa hawawi binadamu!?.
hata kama hili linaukweli na hata kama lingekuwa linaendelea hivi sasa bado ingekuwa ni ngumu kwako kudhibitisha kwa sababu ni mchakato unaotumia muda mrefu inachukua maelfu ya miaka na miaka
 
Kwa wale flat earth, kwani kuna siku mliona jua linarudi lilikochomozea kimyakimya ili lichomoze tena?
Kwanini hamtaki kuamini kuwa huwa linazungukia upande wa pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…