Magufuli mbinafsi, katili, Lisu Yuko sahihiKila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli...
Wivu, Chuki, Husda, Gubu vyote vyake LisuKila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli...
hivi ni nani aliyemmiminia Lissu risasi 16?Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli...
Unajenga inter.airport porini kweli??Kwani Chato siyo Tanzania isipate maendeleo. Mbona hamzungumzii flyovers za Dar na uwanja wa Msalato Dodoma etc Mbona Mwanza ni jiji lakini hadi leo hakuna jengo la abiria uwanja ndege.Tusilete ubaguzi. Maendeleo yanafanyika kwa kuzingatia Mipango na Ilani za uchaguzi. Hii nchi yetu sote. Lisu aache wivu na hoja nyepesi.
Kwani Yesu Kristo alipokuwa akimtaja Shetani alikuwa na wivu kwake. Alimtaja ili kazi zake ovu zikapate kujulikana na watu wema wa Taifa takatifu la Mungu. Kila jiwe na litapinduliwa ili uhuru, haki na maendeleo ya kweli na yenye tija kwa watu yakapate kutokea.Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli...
Kwani Chato siyo Tanzania isipate maendeleo. Mbona hamzungumzii flyovers za Dar na uwanja wa Msalato Dodoma etc Mbona Mwanza ni jiji lakini hadi leo hakuna jengo la abiria uwanja ndege.Tusilete ubaguzi. Maendeleo yanafanyika kwa kuzingatia Mipango na Ilani za uchaguzi. Hii nchi yetu sote. Lisu aache wivu na hoja nyepesi.
Unapata wapi muda na ujasiri wa kuliongelea jitu heartless kama hili?alicho fanya Magufuli