Kwani Lissu ameanza kumuongea JPM link? Tangu alipoapishwa tu.
Akiamka tu anaanza na JPM.
Huu Kama sio wivu ni Nini?
Jibu kwanza Uzi wangu.. ana wivu?
Kuhusu risasi Sina sijui.
dar chato sawa kama unapenda kwao wangeweka hivyo vitu geotarb mkoaniKwani Chato siyo Tanzania isipate maendeleo. Mbona hamzungumzii flyovers za Dar na uwanja wa Msalato Dodoma etc Mbona Mwanza ni jiji lakini hadi leo hakuna jengo la abiria uwanja ndege. Tusilete ubaguzi. Maendeleo yanafanyika kwa kuzingatia Mipango na Ilani za uchaguzi. Hii nchi yetu sote. Lisu aache wivu na hoja nyepesi.
Unajenga inter.airport porini kweli??
Kwa hiyo ulitaka zituwe DSM alafu watembee chini kwa chini ndiyo ingekua furahaa yako!?Ndege kutoka Kenya na Uganda zinatua pale
Kama hujui mjadala huu watokea #49, jifunze kufuatilia kwanza kabla ya kuchangia kiholela.Kwa hiyo ulitaka zituwe DSM alafu watembee chini kwa chini ndiyo ingekua furahaa yako!?
Tatizo kubwa la watanzania ni ujinga.yani mtu anahoji matumizi ya kodi yako wewe unaita with? Unajengaje mradi mkubwa kama airport bila kupitishwa na bunge? Unanunua hedge kwa siri bila kupata idhini ya bunge? Iv 10% ya ndege moja shilingi ngapi? Kama kuna sheria ya manunuzi usipoifuta wewe ni mwizi kama wezi wengine tu lazima wenye akili wahujumu na siyo dhambi wala matusiKila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli.
Nimekaa nikawaza kwamba Lissu hana jema lolote analojivunia toka kwa Magufuli tangu dunia iumbwe?
Lissu anakosoa kila kitu alicho fanya Magufuli kule Chato ikiwemo Uwanja wa Ndege, Mbuga za Wanyama n.k.. Hii inamaana Lissu anafurahia kuona namna ambavyo Nyerere aliondoka na kuacha Musoma na Butiama haina Maji? Lissu anawivu na Magufuli kiasi kwamba haachi kumchafua? Je kwa kumchafua Magufuli atapata kura za kutosha kwenda ikulu?
Swali langu la Msingi ni hili. Lissu anatoka Singida, Akichaguliwa hatopeleka kabisa maendeleo pale Singida? .