Je, kweli Lissu ana wivu na Magufuli?

Kwanini usiulize,je Magufuli ana wivu na Lissu?maana ameshindwa hata kumpa pole.
Pole kwa jasusi la beberu?
Wacha hiyo pole ikae tu.
Pole wanapewa wazalendo.
 
Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli...
Sidhani kama Lissu anaweza kumuonea wivu muuaji.
 
kwani TL anashindana na nani???.
lazima amshambulie mwenye "mbwa" maana huyo ndio mzizi wa uovu wote nchini hao wengine wote wanafuata biti lake tuu!.
 
Kama huyu hapa
 
Magufuli ndio mwenye wivu na Lissu maana amejaribu hadi kumnyima haki ya kuishi akashindwa.
 

Ukiwa na 'Akili' timamu hutoweza kuona Lissu ana 'Wivu' au 'Chuki' na Rais Magufuli ila ukiwa na 'Upopoma' na 'Unafiki' mwingi utaona yuko hivyo.
 
Swali langu la Msingi ni hili. Lissu anatoka Singida, Akichaguliwa hatopeleka kabisa maendeleo pale Singida? .
Lisu Hawezi peleka chochote Singida akiwa mbunge tu hajawahi ongelea maendeleo ya singida
 
Hana jema alilotendewa na Magufuri ? Kupigwa risasi 16 , kunyimwa matibabu , kunyimwa mshahara , kufukuzwa ubunge ,kunyimwa stahiki zake .
 
KWAHIYO BIBLIA KUMTAJA ZAIDI SHETANI NI KUMUONEA WIVU?

MAGUFULI ANATAJWA SANA SABABU NDIYE RAIS KWA SASA UNATAKA ATAJWE MREMA AU MBATIA?

KUJENGA CHATO UWANJA SI TATIZO MAANA NI TZ TATIZO NI JE NI SAHIHI KUJENGA WA KIMATAIFA? UTALETA FAIDA GANI? JE CHATO N MJI WA KIBIASHARA KULIKO KAHAMA? KULIKO MOROGORO?

KUPELEKA MBUGA KWA KUHAMISHA WANYAMA NI SAHIHI? JE MBUGA AMA VIVUTIO VILIVYOPO TUMEWEZA KUVIBUDU KUJAZA WATALII? AU NI KUONGEZA GHARAMA TU?

JE CHATO INAHITAJI TAA ZA KUONGOZEA MAGARI ZAIDI YA BUKOBA AU KAHAMA?

MIRADI ISIYO NA FAIDA NDIYO HUPIGIWA KELELE NDIYO MAANA ALIPOINGIA MAGUFULI ALISIMAMISHA, BANDARI YA BAGAMOYO, MIRADI YA EPZ, UJENZ WA MIJI YA KISASA KAMA KAWE CITY, SAFARI CITY NA USARIVER CITY KWA ARUSHA.JE NI WIVU?
 
Ni Kweli kabisa..... ndio maana Lissu alimpiga magufuli risasi 16😏😏
 
Je Mungu ana wivu ana wivu na shetani .
Je umetembelea twiter account ya Trump hakuna siku hamuongelei Joy Bideni .
Huwezi kwenda kanisan usimuongelee shetani .
Lisu yuko sahihi ..lazima amuongelee Magufuli ..Uzuri anamuongelea matendo yake hamuongei kwa kuvunja sheria.
 
Siyo wivu, Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubali kuongozwa na Jiwe, Mtu KILAZA mpaka anatia kinyaa yan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…