Je, kweli Lissu ana wivu na Magufuli?

Sasa trump ameingiaje hapa?

Uungwana na vitendo. Kuna Maisha baada ya uchaguzi. Tukisemana sana tunakosa utaifa.

Umoja wa kitaifa, huchaffuliwa na maneno ya viongozi.
 
Wivu wao ni kua walikua nae bungeni na walimuona kama mshamba hivi bila kujua talanta ya mtu ambaye kapangiwa na MUNGU,kwanza wana wivu wa kiutendaji..Magufuli toka akiwa waziri ktk wizara kadhaa,ndo waziri aliyekua mpambanaji na mtenda haki kuliko mawaziri wote hapa nchini,hakuwahi kukosea hata kidogo labda mapungufu machache sana ya kibinadamu,wao wamekua na mipango ya kuipiga nchi iwapo wataichukua ndo mana wana hasira na wivu mkubwa sana na ukweli ni kwamba...MUNGU hatawapa maana anazijua nia zao
 
Lissu anapomtaja anayemuhisi kutoa maagizo ya yeye kupigwa risasi hakosi kumtaja JIWE.

Kwahiyo Jiwe ndio suspect no 1 wa ile september 7 Dodoma.
Rais ni amiri jeshi mkuu,hawezi kufanya kitu cha kitoto hicho maana Lisu alikua anamuathiri nini?huyo Lisu atakua aligongwa na maadui zake tu ambao hata sasa inawezekana anafatana nao kwenye chama chake hicho cha ukanda na ukabila na hataweza kufanikiwa maana yuko na ndumila kuwili, awe juu kwenye chama cha wachaga na yeye ni wa huko Singinda nani kakudanganya?
 
Lisu anatembelea nyota ya Magufuli,

Kuna watu wa aina hiyo wanaokuwa maarufu kwa kukosoa wengine bila hivyo hakuna atayemjua.
 
Sasa trump ameingiaje hapa?

Uungwana na vitendo. Kuna Maisha baada ya uchaguzi. Tukisemana sana tunakosa utaifa.

Umoja wa kitaifa, huchaffuliwa na maneno ya viongozi.
Trump nimemfanya kuwa reference
Tuanze na maneno ya Magufuli unaona yanaleta utaifa.
Anawaambia wapiga kura kuwa wasichague wapinzania watajuta..kodi ni zinazokusanywa ni za wana CCM tu ?
Kwamba watu wa Arusha walimpa kura chache wana chuki naye.
 

Hebu fikiri mtu aliyetaka na kisha kuagiza majambazi yakuue kwa kukupiga risasi zaidi ya 38 na 16 zikakupata na mwilini lakini kwa muujiza hukuweza kufa.....

Akakusababishia ulemavu wa maisha, lakini Mungu akahifadhi uhai wako...

Akasababisha kilio cha maumivu makali na mateso makubwa kwa familia na ndugu na rafiki zako....

Sababu kwa kweli ni HAKUNA bali ni tofauti ya mitazamo ya kisiasa tu...

Utamtazamaje na kumfikiriaje kila wakati mtu aliyekutendea ubaya na uovu wa kiwango hiki?

Mungu anasema, TUSAMEHE na KISASI NI CHA KWAKE YEYE....

Kwa kweli lazima kumsikiliza na kumtii Mungu asemavyo....

Hata hivyo, utatamani sana siku ya Mungu kulipa kisasi kwa mtu/watu wakatili na wauaji wa aina ya Magufuli ifike haraka sana....!!

KWA UPANDE WA KUSEMWA IWE MARA MIA AU MILIONI MOJA;

Unataka asemwe nani sasa kwa sababu chanzo cha yote haya ni yeye Magufuli?

Each mess he has created is connected to him.. There's no other person to be used as a reference other than Magufuli....

Lazima asemwe tu...!!
 
Kwani Lissu ameanza kumuongea JPM link? Tangu alipoapishwa tu.

Akiamka tu anaanza na JPM.

Huu Kama sio wivu ni Nini?
 
Kwani Lissu ameanza kumuongea JPM link? Tangu alipoapishwa tu.

Akiamka tu anaanza na JPM.

Huu Kama sio wivu ni Nini?

..kwa hiyo na yeye ndio akaamua kumtumia watu wampige risasi utafikiri ni tembo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…