Je, kweli Lissu ana wivu na Magufuli?

Lisu kikaragosi wa mabeberu siyo size ya rais Magufuli
 
Kwani Lissu ameanza kumuongea JPM link? Tangu alipoapishwa tu.

Akiamka tu anaanza na JPM.

Huu Kama sio wivu ni Nini?

Unashangaa hilo?

Wengine tangu akiwa mbunge tu miaka ile...

Anasemwa semwa kwa sababu hastahili kuwa kiongozi hususani ktk nafasi ya Urais...!!
 
dar chato sawa kama unapenda kwao wangeweka hivyo vitu geotarb mkoani
 
Kwa hiyo ulitaka zituwe DSM alafu watembee chini kwa chini ndiyo ingekua furahaa yako!?
Kama hujui mjadala huu watokea #49, jifunze kufuatilia kwanza kabla ya kuchangia kiholela.
 
Tatizo kubwa la watanzania ni ujinga.yani mtu anahoji matumizi ya kodi yako wewe unaita with? Unajengaje mradi mkubwa kama airport bila kupitishwa na bunge? Unanunua hedge kwa siri bila kupata idhini ya bunge? Iv 10% ya ndege moja shilingi ngapi? Kama kuna sheria ya manunuzi usipoifuta wewe ni mwizi kama wezi wengine tu lazima wenye akili wahujumu na siyo dhambi wala matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…