Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola.
Kwenye hilo Abiola Cup Simba waliitwa na walifika fainali, swali ni je, walifanikiwa kupewa medali? Mbona hawajawahi kuzionyesha?
View attachment 2793267
Ila kumbuka kabla ya Simba kuingia makundi, ni Yanga ndio alie wakwanza kuingia makundi.
Hata Musukuma ana PhD, wenye Masters degree hatuanzishi nyuzi mfululizo kama weweKwa suala la elimu ....now Nina masters
Na Tanzania imefurahi
Ndo maana Lowassa kampeni yake kuu ilikuwa 'Elimu, Elimu, Elimu'. Kumbe alijua matatizo yaliyokuwa yanakusibu.Abiola cup...nenda google
Walipewa Cheti Cha kufika nusu fainali.Wakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola.
Kwenye hilo Abiola Cup Simba waliitwa na walifika fainali, swali ni je, walifanikiwa kupewa medali? Mbona hawajawahi kuzionyesha?
View attachment 2793267
Kumbe Labani og una akili ndogo kiasi hikiWakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola.
Kwenye hilo Abiola Cup Simba waliitwa na walifika fainali, swali ni je, walifanikiwa kupewa medali? Mbona hawajawahi kuzionyesha?
View attachment 2793267