Je, kwenye Abiola Cup Simba walepewa Medali?

haya soma hapa.👇
images.jpeg
 
Ilikuwa inaitwa CAF Cup
Wakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola.

Kwenye hilo Abiola Cup Simba waliitwa na walifika fainali, swali ni je, walifanikiwa kupewa medali? Mbona hawajawahi kuzionyesha?

View attachment 2793267
 
Simba ndio mfungua njia kwa timu zingine Tanzania. Kuna kipindi Simba alitoa Zamalek akaingia moja kwa moja kwenye makundi.
 
Yanga ndo timu ya kwanza kufika makundi tz
 
Wakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola.

Kwenye hilo Abiola Cup Simba waliitwa na walifika fainali, swali ni je, walifanikiwa kupewa medali? Mbona hawajawahi kuzionyesha?

View attachment 2793267
Walipewa Cheti Cha kufika nusu fainali.
 
Wakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola.

Kwenye hilo Abiola Cup Simba waliitwa na walifika fainali, swali ni je, walifanikiwa kupewa medali? Mbona hawajawahi kuzionyesha?

View attachment 2793267
Kumbe Labani og una akili ndogo kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom