Uchaguzi 2020 Je, lengo la watawala kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020 litafanikiwa?

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,843
Reaction score
31,057
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020

Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala

Kulithibitisha hilo tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi.

Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wengine wawili wa viti maalum wa Chadema, Suzane Masele na mwenzie Joyce Sokombi, nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi

Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?

Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini, cha kuwakomboa kutoka kwenye mikono ya chama tawala.

Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na wawalizimishe kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
 
CCM haijawahi kutaka upinzani wa kweli nchi hii ndio maana inajaribu kuuwa vyama vya upinzani kwa kutumia dola au kutengeneza mfano wa chama cha upinzani ambacho ni jina tu upinzani ila matendo yake yawe ccm ili watawala walale usingizi
 
jme
Ni kweli kabisa ukisemacho, ni lazima pia watanzania tujiulize hivi hiki chama cha NCCR Mageuzi si ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1995?

Nini kilitokea baada ya hapo?

Ni kusambaratishwa kwa chama hiko kwa "usimamizi" wa karibu wa chama tawala
 
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati was wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu was mwaka 2020

Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala

Kulithibitisha hill, tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi

Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wa viti maalum wa Chadema, akina Masele nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi

Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?

Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini

Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na waweze kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
Huyo ndama (Nccr Mageuzi)wa kuchonga wa CCM hawezi kuwa sadaka safi Mbele za Mungu. Huyo ni kwaajili ya watawala siyo kwaajili ya wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye red, kama viongozi wa chadema wanahama kwa kupewa MAELEKEZO na sisiemu, basi hicho khakikua chama cha upinzani bali sisiemu C.
 
CCM haijawahi kutaka upinzani wa kweli nchi hii ndio maana inajaribu kuuwa vyama vya upinzani kwa kutumia dola au kutengeneza mfano wa chama cha upinzani ambacho ni jina tu upinzani ila matendo yake yawe ccm ili watawala walale usingizi
Unfortunately, they call the shots and nothing chadema can do but dancing to the tones.
 
hawa wachumiatumbo (pamoja na wafadhili wao) wanaonunuliwa lwa vipande vya fedha ni rahisi mno kuwananga kwenye majukwaa ya kisiasa wakati wa uchachaguzi. mbatia na mrema hata kwa haiba zao tu hawwna mvuto sawasawa na mwenyekiti wa chama kinachowafadhili. enzi za kupelekesha watanzania kama mifugo zishapita.

ccm na nccr wote ma failures.
 
CCM haijawahi kutaka upinzani wa kweli nchi hii ndio maana inajaribu kuuwa vyama vya upinzani kwa kutumia dola au kutengeneza mfano wa chama cha upinzani ambacho ni jina tu upinzani ila matendo yake yawe ccm ili watawala walale usingizi
Baada ya mkakati wao wa kukiua cha cha Chadema kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kufeli, ndiyo sababu ya watawala wetu kujiingiza kwenye "plan B" yao ya kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa ndiyo chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020

Hata hivyo wanachosahau watawala wetu ni kuwa Chadema ni mpango wa Mungu, kwa hiyo matakwa yao hayo hayatitimia!
 
Kwenye Uchaguzi fake uliojaa wizi, vitisho na ulaghai LITAFANIKIWA. Kwenye Uchaguzi huru na wa haki msaliti Mbatia hataambua kitu.
 
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati was wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu was mwaka 2020

Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala

Kulithibitisha hill, tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi

Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wa viti maalum wa Chadema, akina Suzane Masele nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi

Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?

Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini

Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na waweze kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
Wacha kupiga mayowe!
 
Kwenye Uchaguzi fake uliojaa wizi, vitisho na ulaghai LITAFANIKIWA. Kwenye Uchaguzi huru na wa haki msaliti Mbatia hataambua kitu.
BAK
Hawa watawala wetu wamegeuza uchaguzi kuwa matakwa yao binafsi, badala ya kuheshimu matakwa ya sanduku la kura lililo huru
 
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020

Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala

Kulithibitisha hilo tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi.

Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wa viti maalum wa Chadema, akina Suzane Masele nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi

Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?

Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini, cha kuwakomboa kutoka kwenye mikono ya chama tawala.

Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na waweze kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
CDM ipo mioyoni kwa wananchi.... NCCR wanajisumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020

Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020

Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala

Kulithibitisha hilo tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi.

Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wengine wawili wa viti maalum wa Chadema, Suzane Masele na mwenzie Joyce Sokombi, nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi

Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?

Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini, cha kuwakomboa kutoka kwenye mikono ya chama tawala.

Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na waweze kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
Mpaka leo nashuhudia wananchi wakiwa wapinzani viongozi wa vyama vya upinzani wakikamilisha tiba ya njaa yao
 
Rais alitangaza kufuta upinzani nchini hiki chama cha mbatia kitakuwa chama kikuu cha upinzani wapi ? Au mbinguni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom