mndewaerasto
Member
- Jun 26, 2015
- 58
- 37
Kusonga bila kuwa na uhakika kama ikitokea tena tunaweza kupata nyeti kwa wakati pia inapendeza kumbuka hapo juu mwamba kasema kupata nyeti sasa hivi sio favour ni hakiKwakuwa yameshatokea ya kutokea tusonge mbele maswali mengi sidhani kama yatabadilisha yaliyokwisha fanyika
Lakini jambo si la kitabu kwani witch akisema tayari unadhani anaweza ku kam bakiLabda bado walikuwa wanajadiliana na ku debate wenyewe kama ni kweli hawanaye tena kwa hofu kubwa anaweza kuibuka tena ikawa kizungumkuti, bwana yule alikuwa anatisha[emoji16]
Nausoma kwa kurudia uzi wako huku natafakari na kutafakari sanaJapo miaka inaendelea kupita bila ukweli halisi kuwekwa bayana, this is the day na kuna siku itafika ukweli huu utawekwa bayana!, swali tunalojiuliza bila majibu, ni walikuwa wanafanya nini na huo... kwa siku 5 nzima mpaka tulipojulishwa?.
P
Hii tarehe ya Ramadan Mosi 🐼Nausoma kwa kurudia uzi wako huku natafakari na kutafakari sana
Mkuu umekuwa bingwa sana kwa kujitoa ufahamu...Hii tarehe ya Ramadan Mosi 🐼
Kwa hiyo tuwe tunasheherekea tarehe 22 badala ya 17 marchWanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
yes, kuna baadhi ya mabandiko yangu ni mabandiko ya watu wa kawaida, kila mtu anaweza kuyasoma na kuyaelewa, na kuna baadhi ya mabandiko yangu, sio mabandiko ya watu wa kawaida, ni mabandiko ya people with brain!.Nausoma kwa kurudia uzi wako huku natafakari na kutafakari sana
Ni muda umepita tangu uweke post namba 1. Naona bado wenye majibu wanasubiri upepo utulie waje na clue angalau kujibu maswali mawili matatu.yes, kuna baadhi ya mabandiko yangu ni mabandiko ya watu wa kawaida, kila mtu anaweza kuyasoma na kuyaelewa, na kuna baadhi ya mabandiko yangu, sio mabandiko ya watu wa kawaida, ni mabandiko ya people with brain!.
P
Its true, tena sio uzi ni special, pia ni for special people!.Ni muda umepita tangu uweke post namba 1. Naona bado wenye majibu wanasubiri upepo utulie waje na clue angalau kujibu maswali mawili matatu.
Huu uzi ni spesho sana
Tenaa?! Daah.Ilikuwa ngumu kutoa taarifa moja kwa moja kutokana na usiri ndani ya jamuhuri na usiri wa wale wangemrithi. Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito a heads of nation. Hence watu tujiandae Kisaikolojia
Japo miaka inaendelea kupita bila ukweli halisi kuwekwa bayana, this is the day na kuna siku itafika ukweli huu utawekwa bayana!, swali tunalojiuliza bila majibu, ni walikuwa wanafanya nini na huo... kwa siku 5 nzima mpaka tulipojulishwa?.
P
Hapa ndipo maswali yanapoanzia!, kitu kama kime happen, just natural, why hide for 5 good days?!. Halafu mhusika mkuu wa kwanza anayepaswa kujulishwa, what is going on, mnamtuma Tanga!. mnamdanganya ametumwa na fulani!, kumbe huyo fulani... ni zamani five days before!, ni nani hao wanaweza kufanya uongo mkubwa wa ajabu hivyo?!, na walifanywa nini?!.Was it a mansalughter?
Those were the very dark days in the country, my dear Tanzania.Hapa ndipo maswali yanapoanzia!, kitu kama kime happen, just natural, why hide for 5 good days?!. Halafu mhusika mkuu wa kwanza anayepaswa kujulishwa, what is going on, mnamtuma Tanga!. mnamdanganya ametumwa na fulani!, kumbe huyo fulani... ni zamani five days before!, ni nani hao wanaweza kufanya uongo mkubwa wa ajabu hivyo?!, na walifanywa nini?!.
P
Bado kitambo kidogo ukeli utaanikwa bayana bila chengaWanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya ”seek the truth and the truth and the truth will set you free”, na mimi kama mwandishi wa habari, kanuni kuu ya uandishi wahabari ni “tellnothing but the truth”
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Zamani kupata taarifa ilikuwa ni hisani tuu yaani favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea tarehe 12 March ili ukweli huu kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa watu tuliotumiwa taarifa ya YouTube ya kutokea kwa tukio hili kutokana na ku subscribers kwa channel ya mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya kum doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, kwenye YouTube channel yake yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye na wewe ni GT, usitaje jina lolote!, Please!.
Jumapili Njema
Paskali