Je leo ni siku ya mwisho au na usiku wa kesho Lulu atalala chumbani kwake?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

kesho ni nov 13 ambayo jaji atatoa hukumu kwa lulu kutokana na kesi yake..

kiukweli namuonea huruma sana...

na huu ni uzi special wa kumtakia heri kwenye kesi yake hukumu isiwe mbaya kwake nina imani hakutarajia kama haya yangetokea.. usiku ule wa ijumaa kuu angeshinda ndani kwao anacheki movie au amelala yasingemkuta yote haya

kwa niamba ya fans wake wote namuombea heri.. japo najiuliza je na usiku wa kesho lulu atalala chumbani kwake au leo ndio siku ya mwisho kulala chumbani kwake??
 
kesho tushuhudie mahaka ikatafuta kiki kama za Dr.luis

Tz mifumo yetu ya sheria haitendi haki
 
Ataachiwa mtoto wa watu,hiyo kesi yenyewe kukaa rumande ni adhabu tosha
 
Namuombea tuuu yaishe, maana hata ukifanya mtihani kuangalia matokeo yako tuu inakuwa ngumu.
 
Haki itendeke tu.naamini majudge watakua na enough evidence ili kuweza kufikia kufanya maamuzi.

Swezi sema namuonea huruma lulu hata ivo.
 
Ataachiwa tu, dalili zinaonyesha.
 
Kwa ule ushahidi ulikubaliwa na mahakama hasa wa yule mke wa Dr Slaa...ni vigumu kuamini Lulu atakutwa na hatia....
Judge halazimiki kufata ushauri wa wazee wa baraza
 
Jionee huruma wew ambaye unakesha kijiweni kuandika habari za lulu ukisubiri msosi wa shikamoo
Nimeipenda hiyoo mkuu..wengi walio humu nmefanya just simple.sample research ni under 21.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…