Dr Mabuga M
Senior Member
- Nov 4, 2017
- 148
- 125
Itapendeza Matokeo yakijulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Msilewe pombe na mapanga uvunguni mkifa muwaachie watu misala. Kila siku mnaambiwa kunyweni pombe kwa tahadhari, mnaona sasa?
Mtanzania mwenzangu mbona unaongea kwa uhakika sana,ukiambiwa uthibitishe unaweza? Anaejua ukweli ni Lulu na Muumba tu,wengine ni kuguess,tafadhali tuisubiri mhkm.Si kaua mkuu.?mbona mwizi we kuku yupo gerazani
[emoji23]Ataachiwa tu. Mahakama zetu hazinaga roho katili kwa warembo