Je leo ni siku ya mwisho au na usiku wa kesho Lulu atalala chumbani kwake?

Akionekana kesho nitamshangaa sana...! Kwa nn asikimbie aende hata somalia huko...!
 
Amuue Kanumba halafu unamtakia heri?
Mbona sikuelewi!!

Kuanzia kesho chakula ya mibwanajela! Atadinywa hatari.
 
ila kuna kitu kinaitwa bail pending apeal/ dhamana kusubiri rufani; hiyo ipo anaweza omba akapata kwa hiyo usifanye haraka kuhitimisha hivyo.
 
Kwa kweli bora ingekuwa imeshatolewa hukumu kabisa maana huko kusubiri ndio kunaumiza sana mkuu,anaweza kutoroka akaenda kule alikoenda yuleeeeeee kule state ambayo haina extradiction treaty na Tz
 
Msilewe pombe na mapanga uvunguni mkifa muwaachie watu misala. Kila siku mnaambiwa kunyweni pombe kwa tahadhari, mnaona sasa?
 
Kafungwe kanafaida gani, zaidi ya kufanya uma..laya, kashenzi sana.
 
Mingependa aachiwe huru maana kanumba mwenyewe arikuwa mwalibifu maana kipindi kile karikuwa katoto gadogo japo ilikuwa inapita
 
Kwa ule ushahidi ulikubaliwa na mahakama hasa wa yule mke wa Dr Slaa...ni vigumu kuamini Lulu atakutwa na hatia....
Judge halazimiki kufata ushauri wa wazee wa baraza
Kwakweli mimi sijaona kama jamhuri wamethibitisha pasipo kuacha shaka yoyote!
 
Mungu amsimamie kwakweli akutwe hana hatia.
 
Ngoja ale mvua za kuua bila kukusudia 10 yrs
 
Ila nachowaza kama akienda gerezani si atakuwa chakula ya wakubwa wa kule na kale kasura kake kazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…