Je leo ni siku ya mwisho au na usiku wa kesho Lulu atalala chumbani kwake?

Msilewe pombe na mapanga uvunguni mkifa muwaachie watu misala. Kila siku mnaambiwa kunyweni pombe kwa tahadhari, mnaona sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si kaua mkuu.?mbona mwizi we kuku yupo gerazani
Mtanzania mwenzangu mbona unaongea kwa uhakika sana,ukiambiwa uthibitishe unaweza? Anaejua ukweli ni Lulu na Muumba tu,wengine ni kuguess,tafadhali tuisubiri mhkm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…