wakati Kingai anajitenga kumtetea muhalifu wa uhaini ambae hata hamjui right?🐒Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa.
Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai alipoenda mahakamani, alizungumza na kujadiliana na Tundu Lissu na kumwambia maneno ambayo Lissu alikuja kuyatamka mahakamani mbele ya Majaji.
Lissu katika maelezo yake alisema alikutana na Kingai katika chumba au eneo lile lile la mahakama ambapo kesi ilikuwa inasikilizwa. Nadhani hii kauli ilikuwa na umuhimu wa kipekee ndiyo maana aliitamka. Maana moja wapo ni kuwa hawakukutana gizani au nyuma ya pazia. Narudia, hii ni kauli muhimu sana.
Swali langu ni je, wahudhuriaji mahakamani walikuwa bado hawajaruhusiwa kuingia? Vipi waandishi wa habari?
Nilisikia kuna mtu aliripoti mitandaoni kuwa Kingai alifika mahakamani na mapolisi wengi sana na kuwa Lissu alizuiwa kujadiliana na Kingai akiwa na wanasheria wake, pia akasema umeme ulikatika watu wakawa gizani, kwa hiyo ni wazi kuna watu walishuhudia tukio zima la majadiliano ya Lissu na Kingai.
Moja ya picha muhimu ambazo zingebeba taswira nzima ya kumbukumbu ya kesi hii ni picha ya Lissu akijadiliana na Kingai, Wambura au Mkunda kama "mshitakiwa na shahidi wake".
Picha hiyo tumeikosa mpaka sasa.
Inaonekana Askari polisi pamoja na mambo yao meusi ila kwenye eneo la kujiamini hata ukiwa mpumbavu huwa wanatiliwa sana mkazo.Mbona jamaa umenukuu nusu nusu na naongeza ripota alisema umeme ulikatika na Kingai akutaka mtu yoyote awepo nae Lissu zaidi wao wawili tu
Kujiamini zero kitambo tu, we fikiria unaenda kituo cha polisi labda una ishu ya kufuatilia maana haiwezekani utoke kwako uende polisi ukakae tu, utasikia anakuuliza umefuata nini, ukimjibu kuna ishu nimefuata jibu atakuambia kasimame kule mbali.Inaonekana Askari polisi pamoja na mambo yao meusi ila kwenye eneo la kujiamini hata ukiwa mpumbavu huwa wanatiliwa sana mkazo.
Labda wanawaona raia kama magaidi.Kujiamini zero kitambo tu, we fikiria unaenda kituo cha polisi labda una ishu ya kufuatilia maana haiwezekani utoke kwako uende polisi ukakae tu, utasikia anakuuliza umefuata nini, ukimjibu kuna ishu nimefuata jibu atakuambia kasimame kule mbali.
Sijui wanaogopa nini?
Justice system ya tanzania has failed again and again? Political motivated casesSio maneno hayo tuu...
Lissu alisema, Kingai kamwambia "tutashangilia ukikutwa na hatia"
Hapa ilibidi Wakili wa Serikali asimame aseme tuombe ufafanuzi au Kingai aitwe Tena aieleze Mahakama kama alisema hayo maneno
Unajua maana ya hii statement?
Maana yake ..taasisi za haki jinai Tanzania zinatengeneza kesi au kuunda ili zijifurahishe baadae... Hakuna professionalism....
Maana yake Mahakama ipo mtegoni
Wajinga tuLabda wanawaona raia kama magaidi.
They are products of their environment.Wajinga tu
Nilishaapa siwezi kuwa na rafiki polisi maana awachelewi kukuuza
Umesema jambo muhimu sana. Nilinukuhu kipande kidogo ili tu niende haraka katika jambo nililotaka kuuliza.Sio maneno hayo tuu...
Lissu alisema, Kingai kamwambia "tutashangilia ukikutwa na hatia"
Hapa ilibidi Wakili wa Serikali asimame aseme tuombe ufafanuzi au Kingai aitwe Tena aieleze Mahakama kama alisema hayo maneno
Unajua maana ya hii statement?
Maana yake ..taasisi za haki jinai Tanzania zinatengeneza kesi au kuunda ili zijifurahishe baadae... Hakuna professionalism....
Maana yake Mahakama ipo mtegoni
Sawa ila nilinukuhu kipande kama utangulizi tu ili niende haraka katika hoja yangu ya msingi.Mbona jamaa umenukuu nusu nusu na naongeza ripota alisema umeme ulikatika na Kingai akutaka mtu yoyote awepo nae Lissu zaidi wao wawili tu
Mahakama imevuliwa nguo!Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa.
Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai alipoenda mahakamani, alizungumza na kujadiliana na Tundu Lissu na kumwambia maneno ambayo Lissu alikuja kuyatamka mahakamani mbele ya Majaji.
Lissu katika maelezo yake alisema alikutana na Kingai katika chumba au eneo lile lile la mahakama ambapo kesi ilikuwa inasikilizwa. Nadhani hii kauli ilikuwa na umuhimu wa kipekee ndiyo maana aliitamka. Maana moja wapo ni kuwa hawakukutana gizani au nyuma ya pazia. Narudia, hii ni kauli muhimu sana.
Swali langu ni je, wahudhuriaji mahakamani walikuwa bado hawajaruhusiwa kuingia? Vipi waandishi wa habari?
Nilisikia kuna mtu aliripoti mitandaoni kuwa Kingai alifika mahakamani na mapolisi wengi sana na kuwa Lissu alizuiwa kujadiliana na Kingai akiwa na wanasheria wake, pia akasema umeme ulikatika watu wakawa gizani, kwa hiyo ni wazi kuna watu walishuhudia tukio zima la majadiliano ya Lissu na Kingai.
Moja ya picha muhimu ambazo zingebeba taswira nzima ya kumbukumbu ya kesi hii ni picha ya Lissu akijadiliana na Kingai, Wambura au Mkunda kama "mshitakiwa na shahidi wake".
Picha hiyo tumeikosa mpaka sasa.
Majadiliano yake na shahidi wake hayawezi kuwa rekodi ya mahakama na hayana tija katikq maamuziSio maneno hayo tuu...