GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Binafsi, lile tamko naliona lilikuwa la kijinga sana..!!!Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma au Lutindi Mkoani Tanga au hata pale Jirani na Klabu yao Muhimbili National Hospital au pengine ni Wazima tu na walikuwa na Hoja ya Msingi.
Kina yikpe sioYanga wanasajili watu nyie mnaleta futuhi alafu baadae mnalalamika Bahasha.
hilo sio msimamo wa yangaTafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma au Lutindi Mkoani Tanga au hata pale Jirani na Klabu yao Muhimbili National Hospital au pengine ni Wazima tu na walikuwa na Hoja ya Msingi.
Huko Yanga wote wajingaBinafsi, lile tamko naliona lilikuwa la kijinga sana..!!!
Huko Simba wote MBUMBUMBU, wote wala NGADA na wote MADUNDUKAHuko Yanga wote wajinga
Vipi wananchi wanaendelea kutoa taarifa za namna AZAM wanavyokwepa kodi kwa TRA? Ile comment yako ilinifurahisha sana [emoji4][emoji4]Yanga wanasajili watu nyie mnaleta futuhi alafu baadae mnalalamika Bahasha.