Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ajiandae na majibuHili ni moja ya swali ninlotamani Lissu amuulize IGP.
Wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani?
Na mimi natamani hivyo hivyoHili ni moja ya swali ninlotamani Lissu amuulize IGP.
Wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani?
Au atasema sijui?Ajiandae na majibu
Swali hilo likiulizwa itakaa bien sana.Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP.
Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani?
Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
Na akijibu hakutoa amri, swali litalofuata n kwanini hukuwachukulia hatua askari waliouwa watu?Lissu. Ni kweli au si kweli siraha za moto zipo chini yako?
IGP. Kweli
Lissu. Nikweli au sikweli amri ya kutumia siraha hizo inatoka kwa maafisa wako
IGP. Kweli.
Lissu. Wambie majaji ulitoa amri ya kutumia siraha hizo tarehe 29.10.2026 siku ya uchaguzi na kuua watanzania 518.
Igp. Sifahamππ ( hapa ndo utajua ukiwa polis akili zako unatumia matakoni tu)
Yes,Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP.
Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani?
Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
Herit kunyongwa kuliko kupiga magoti wauaji.Yes,
Lisu anaweza kufanya hivyo kwasababu itamsaidia sana asitiwe kitanzi π
ok.πHerit kunyongwa kuliko kupiga magoti wauaji.
Lissu. Ni kweli au si kweli siraha za moto zipo chini yako?
IGP. Kweli
Lissu. Nikweli au sikweli amri ya kutumia siraha hizo inatoka kwa maafisa wako
IGP. Kweli.
Lissu. Wambie majaji ulitoa amri ya kutumia siraha hizo tarehe 29.10.2026 siku ya uchaguzi na kuua watanzania 518.
Igp. Sifahamππ ( hapa ndo utajua ukiwa polis akili zako unatumia matakoni tu)
ok.π
mimi ni mtu wa adabu sana ndugu mdau tangu kuzaliwa kwangu na hata kujiunga kwangu hapa JF.Siku hizi unajibu kwa adabu. Umekutwa na nini mwaegoo? πππ
Jibu rahisi tu, hakuna hilo kaburiHili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP.
Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani?
Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
'siraha'Lissu. Ni kweli au si kweli siraha za moto zipo chini yako?
IGP. Kweli
Lissu. Nikweli au sikweli amri ya kutumia siraha hizo inatoka kwa maafisa wako
IGP. Kweli.
Lissu. Wambie majaji ulitoa amri ya kutumia siraha hizo tarehe 29.10.2026 siku ya uchaguzi na kuua watanzania 518.
Igp. Sifahamππ ( hapa ndo utajua ukiwa polis akili zako unatumia matakoni tu)
Umeelewa swali?Jibu rahisi tu, hakuna hilo kaburi
Ameanza kutumia akili kidogo kidogo issue ya Ima imawatoa chawa usingizini.Siku hizi unajibu kwa adabu. Umekutwa na nini mwaegoo? πππ
Siraha ndiyo siraha'siraha'
Ndio nini?
ni silaha'siraha'
Ndio nini?