Je, Lissu anaweza kumuuliza IGP kuhusu ni wapi walzika miili ya watu waliouwawa kwenye mauji ya October 29?


Uongooooo!! Umekutwa na jambo, kimekukuta kitu, si ukubali tu jamani chawa wewee.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uongooooo!! Umekutwa na jambo, kimekukuta kitu, si ukubali tu jamani chawa wewee.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ndugu mdau,
kukutwa na jambo mbona ni kitu cha kawaida kabisa kwa wanadamu wote?

kwa mfano,
hata wewe naskia mvua imekuzuia kwa dakika kadhaa hapo dar es salaam na sijui ulikua unawahi wapi na mvua ikakuzuia?

kwahiyo kukutwa jambo ni kitu cha kawaida kabisa katika maisha, but I'm very okay as I'm replying to your comment πŸ’
 
We Kilaza mbona Maswali hayaendani na Hati ya Mashtaka inayomshikilia Tobo Lissu Gereza la Ukonga unafikiri makakama iko hivyo Lissu hao ni mashahidi wake sidhani kama atawauliza maswali ya Kipumbavu hivyo una cross examine your own witness?

Mambo yatakayoendelea siku hiyo lazima yawe relevant na Kesi. Kesi zingekua zinasikilizwa kwa njia ya upuuzi huu ulioandika zisingeisha.
 
Kwani katunga hujaona anauliza habari za uchaguzi oct2025 mkuu?

mbona hilo swali linauhusiano nashitaka la kuzuia uchaguzi.
 
Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP.

Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani?

Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
Hao kabla ya kuulizwa mas wali hayo wakaguliwe na ihakikishwe kuwa hawana beba miguu ya kuku wala mifupa wa kuku,wanaweza wakamuua wanatakiwa kumtetea kwa maswali yake kwaoπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…