sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Miaka zaidi ya 20 akiwa mwenyekiti wa Chadema imekuwa ni kama jinai kugombea kiti chake.
Mbowe sasa anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Tundu Lissu kipenzi cha wapenda haki ndani ya chadema.
Ni wazi kuna kila dalili Lissu kumuangusha Mbowe.
Je atafanikiwa?
Tupe maoni yako
