Pre GE2025 Je, Lissu ataweza kumng'oa Mbowe?

Pre GE2025 Je, Lissu ataweza kumng'oa Mbowe?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo awali walisemaga eti ni vijimaneno tu vya fitina kutoka chama tawala; sasa mambo yote hadharani.

Ila ushauri wangu, wadumishe amani wakijua 2025 haiko mbali - labda kama wameshakubaliana na hali ilivyo, kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikaliza Mitaa.
 
Kwa maslahi makubwa ya chadema, mbowe amwachie lissu agombee uwenyekiti, makamu wampe heche.
 
Hapo awali walisemaga eti ni vijimaneno tu vya fitina kutoka chama tawala; sasa mambo yote hadharani.

Ila ushauri wangu, wadumishe amani wakijua 2025 haiko mbali - labda kama wameshakubaliana na hali ilivyo, kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikaliza Mitaa.
Mambo ya kuwa na fomu moja ni ya ccm, chadema wasiingie kwenye mtego huo.Demokrasia ichukue nafasi
 
View attachment 3171373

Miaka zaidi ya 20 akiwa mwenyekiti wa Chadema imekuwa ni kama jinai kugombea kiti chake.
Mbowe sasa anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Tundu Lissu kipenzi cha wapenda haki ndani ya chadema.

Ni wazi kuna kila dalili Lissu kumuangusha Mbowe.

Je atafanikiwa?

Tupe maoni yako
Lisu na mbowe hawawezi hata sikumoja wakawa na changamoto ktk kugombea vyeo. Ila kuna watu hawamtaki Mbowe kwa sababu zao binafsi ndiyo wana puliza moto uwake CDM ila Mbowe na Lisu hawawezi wakagombana hata siku moja kwa ajili ya uwenyekiti.
 
Watu wamemchoka mbowe
 
Watu wamemchoka mbowe
Hili ni kweli ila hilo haliwezi likawakosanisha Mbowe na Lisu ila Mbowe aking'ang'ania madaraka anaweza akkidhoofisha zaidi chama, sababu ameishiwa mbinu za kuikabili CCM na kuachia wanachama wake wakitekwa na kuuwawa bila kuchukua hatua zozote za maana
 
Lissu ana nguvu ila Mbowe ana mizizi, anaweza Shinda ila kwa margin ndogo sana hii inaweza leta mpasuko kwa kila mmoja kuamini kachezewa faulo.
 
Ku predict siasa za Chadema ni ngumu, sisi kwa Sababu tunawaangalia kama nyenzo ya Mungu kutuletea ukombozi, tunatuma tu maombi kwa Mungu kuiombea Chadema
 
Back
Top Bottom