Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mambo ya kuwa na fomu moja ni ya ccm, chadema wasiingie kwenye mtego huo.Demokrasia ichukue nafasiHapo awali walisemaga eti ni vijimaneno tu vya fitina kutoka chama tawala; sasa mambo yote hadharani.
Ila ushauri wangu, wadumishe amani wakijua 2025 haiko mbali - labda kama wameshakubaliana na hali ilivyo, kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikaliza Mitaa.
Lisu na mbowe hawawezi hata sikumoja wakawa na changamoto ktk kugombea vyeo. Ila kuna watu hawamtaki Mbowe kwa sababu zao binafsi ndiyo wana puliza moto uwake CDM ila Mbowe na Lisu hawawezi wakagombana hata siku moja kwa ajili ya uwenyekiti.View attachment 3171373
Miaka zaidi ya 20 akiwa mwenyekiti wa Chadema imekuwa ni kama jinai kugombea kiti chake.
Mbowe sasa anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Tundu Lissu kipenzi cha wapenda haki ndani ya chadema.
Ni wazi kuna kila dalili Lissu kumuangusha Mbowe.
Je atafanikiwa?
Tupe maoni yako
Watu wamemchoka mboweLisu na mbowe hawawezi hata sikumoja wakawa na changamoto ktk kugombea vyeo. Ila kuna watu hawamtaki Mbowe kwa sababu zao binafsi ndiyo wana puliza moto uwake CDM ila Mbowe na Lisu hawawezi wakagombana hata siku moja kwa ajili ya uwenyekiti.
Hili ni kweli ila hilo haliwezi likawakosanisha Mbowe na Lisu ila Mbowe aking'ang'ania madaraka anaweza akkidhoofisha zaidi chama, sababu ameishiwa mbinu za kuikabili CCM na kuachia wanachama wake wakitekwa na kuuwawa bila kuchukua hatua zozote za maanaWatu wamemchoka mbowe
Tunasubiri maoni yako juu ya Lissu kutangaza kugombea uwenyekiti Chadema? Ahahahahaha!! Au ndio kitu Cha kushangaza ulichotabiri? Ahahahahaha!!!πππ Umeingizwa choo cha kike kibwege sana!
Kumbe wewe ndiye hujui! Naamini sasa kuwa wewe ni chawa tu baada ya Gazeti kuonekana lilikuwa na taarifa kabla yakoKuna kitu hukijui, Utashangaa
Haahaa wanachadema wataamua, lakini kwa busara mbowe aombwe na wazee apumzike, amefanya makubwa ndani ya miaka 20Lisu anacheza na moto. Kasahau ule msemo kuwa sumu huwa haionjwi? Kama anabisha aende akamuulize Chacha Wangwe.
View attachment 3171378