Tuachane na siasa
Mtanzania yeyote hapaswi hufanywa kama lissu
.
kwa hiyo unataka kusema alingoa camera .kisha akatengeneza watu wa kumpiga risasi
HAKUNA KAMERA YOYOTE ILIYONG'OLEWA. HIZI NI NGONJERA ZA WAKATI ULE NA KAMWE HAWADHUBUTU KUZIRUDIA KWA SABABU WANAJUA UCHUNGUZI YPO TENA SANA WANASUBIRI WAHUSIKA WARUDI TZ MAMBO YA KIMAHAKAMA YAANZE
Hiyo dozi ya matusi bado haifikii uwezo wako kwa sababu unalipwa kwa kumwaga matusi kama ulivyosomea. Hizi ngonjera za mara walinzi waliondolewa, mara CCTV ziling'olewa ni makelele tu ya kutunga.
Uchunguzi wa kesi za jinai sio ligi ya mpira wa mguu unasema dakika ya ngapi tumefikia wapi n.k. Mambo yote yatawekwa wazi mahakamani na ndio maana watu wanatafuta kila sababu ya kutorudi nchini. Mara anatibiwa kisaikolojia, mara anatafutiwa shule asome certificate baadaye diploma and then degree. Hivi mtu ambaye hajajiondoa ufahamu kweli haoni hii fix ya sababu za kutokuja nchini kwake?
Acha kurukaruka jibu hoja
Lissu yu hai na baada ya uchaguzi wa 2020 ndiyo atakuwa rais View attachment 1331291
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa ni kuwa mh Lissu yu hai tena mwenye afya tele anasubiri kuapishwa kuwa rais wako hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app