Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anza kwanza na goli kengeza alilofunga Manure dhidi ya Liverpool kwenye mechi iliyopita pale OT.Sote ni mashahidi wa namna Klopp ameibadili Liverpool, ameibadili kutoka mediocrity hadi kuwa miongoni wa zile Timu tishio ulaya.
Kikwazo pekee kwenye mafanikio ya Klopp ni kiu ya Premier League ambayo hawajaipata Tangia Rais wa Tz akiwa Mzee Mwinyi, na anayeonekana kumzuia ni Pep Guardiola.
Jana wote tumeona game yenye ushindani mkali sana kati ya Pep na Klopp, game ilikuwa kali sana ila iliharibiwa na refa ambaye alikataa katu katu kutumia teknolojia licha ya matukio mbali mbali uwanjani na imekuwa mfululizo wa maamuzi mabaya ya marefa dhidi ya Man city.
Kwa muenendo wa jana nadhani kuna campaign dhidi ya Man city ambayo mosi, wasichukue EPL mara 3 mfululizo ambapo itaharibu dhana ya ugumu wa Premier League na pili Liverpool wachukue ubingwa na wafute mwiko wa kutolichukua kombe kwa muda mrefu.
Kwa hali hii, unadhani mbinu za figisu dhidi ya Man City na Pep zitafaulu?
Referee hakua na sababu ya VAR sababu alikua karibu na tukio na sheria naijua kama haikua penalty soma sheria hii kama unakijua kiingereza pia kila refa kaunga mkono kasoro pundits ambao walikua wachezaji.Watu wanaandaliwa.
Pep anajua sheria inasemaje ila hakutaka kukubali Liverpool walimzidi kimkakati kwa mpira. Na hii ni sheria iliyowekwa na Premier League wala siyo ya refereeSote ni mashahidi wa namna Klopp ameibadili Liverpool, ameibadili kutoka mediocrity hadi kuwa miongoni wa zile Timu tishio ulaya.
Kikwazo pekee kwenye mafanikio ya Klopp ni kiu ya Premier League ambayo hawajaipata Tangia Rais wa Tz akiwa Mzee Mwinyi, na anayeonekana kumzuia ni Pep Guardiola.
Jana wote tumeona game yenye ushindani mkali sana kati ya Pep na Klopp, game ilikuwa kali sana ila iliharibiwa na refa ambaye alikataa katu katu kutumia teknolojia licha ya matukio mbali mbali uwanjani na imekuwa mfululizo wa maamuzi mabaya ya marefa dhidi ya Man city.
Kwa muenendo wa jana nadhani kuna campaign dhidi ya Man city ambayo mosi, wasichukue EPL mara 3 mfululizo ambapo itaharibu dhana ya ugumu wa Premier League na pili Liverpool wachukue ubingwa na wafute mwiko wa kutolichukua kombe kwa muda mrefu.
Kwa hali hii, unadhani mbinu za figisu dhidi ya Man City na Pep zitafaulu?
Sote ni mashahidi wa namna Klopp ameibadili Liverpool, ameibadili kutoka mediocrity hadi kuwa miongoni wa zile Timu tishio ulaya.
Kikwazo pekee kwenye mafanikio ya Klopp ni kiu ya Premier League ambayo hawajaipata Tangia Rais wa Tz akiwa Mzee Mwinyi, na anayeonekana kumzuia ni Pep Guardiola.
Jana wote tumeona game yenye ushindani mkali sana kati ya Pep na Klopp, game ilikuwa kali sana ila iliharibiwa na refa ambaye alikataa katu katu kutumia teknolojia licha ya matukio mbali mbali uwanjani na imekuwa mfululizo wa maamuzi mabaya ya marefa dhidi ya Man city.
Kwa muenendo wa jana nadhani kuna campaign dhidi ya Man city ambayo mosi, wasichukue EPL mara 3 mfululizo ambapo itaharibu dhana ya ugumu wa Premier League na pili Liverpool wachukue ubingwa na wafute mwiko wa kutolichukua kombe kwa muda mrefu.
Kwa hali hii, unadhani mbinu za figisu dhidi ya Man City na Pep zitafaulu?
Msimu uliopita Man City vs Liver mpira ulivuka mstari goli la liver likakaliwa,dakika ya 90+ man city wananawa mpira ndani ya box refa akapeta ila wao ndo wanakumbuka shuka Leo,mwisho wa siku man city kapoteana msimu huuUzi wa Wanafiki wakiwa katika ubora wao
Last game Liverpool v/s Astonvilla Oxlade Chamberlain alipiga shuti na Aston Villa akanawa lakini hakuna Mtu aliyelalamika kuhusu VAR kutunyima tuta.
Lakini leo imetokea kwa Liverpool basi kila Mtu kawa blamer
Kwa comment yako hii bila shaka unakubali VAR ni upuuzianza kwanza na goli kengeza alilofunga Manure dhidi ya Liverpool kwenye mechi iliyopita pale OT.
halafu rudi kwenye goli halali lililokataliwa la Firmino vs Aston Villa wiki iliyopita.
halafu uje jana vs ManCity uone Bernardo Silva alifanya nini na mkono wake kabla mpira haujamfikia TAA.
ndiposa utajua Liverpool anabebwa, habebwi!
Vipi kuhusu faulo aliyochezewa origi kabla ya man untd kupata goli vs LFC pale OT.Refa kukataa kutoa penat katika ule cheza wa Liva na Man City ilitakiwa uwe na Moyo wa Chuma na si sheria za soka. Mbaka leo yale matukio nikiyakumbuka siamini katika Mechi kubwa kama ile Refa anaweza kufanya vituko vile bahati nzuri yale matukio yametokea Refa akiyaona kwa ufasaha mkubwa.
Ule upuuzi umekua mjadala kwa wapenda soka duniani wiki hii.
Wala sio upuuzi inasaidia kupunguza mazoea.Kwa comment yako hii bila shaka unakubali VAR ni upuuzi
Mkuu watu wanaumia roho Hadi wanaanzisha nyuzi,hayo yote yaliyofanwa dhidi ya LFC hukuona uzi wwt ukiianzishwa juu ya VAR...Sasa leo waliokuwa na matokeo yao mfukoni wiki imeenza vibaya wamekuja na Uzi ha ha ha ha VAR INAMBEBA LFCanza kwanza na goli kengeza alilofunga Manure dhidi ya Liverpool kwenye mechi iliyopita pale OT.
halafu rudi kwenye goli halali lililokataliwa la Firmino vs Aston Villa wiki iliyopita.
halafu uje jana vs ManCity uone Bernardo Silva alifanya nini na mkono wake kabla mpira haujamfikia TAA.
ndiposa utajua Liverpool anabebwa, habebwi!
Kweli mkuu, pia hata match ya man u, mbona liver alibaniwa sana lakin walikubaliana matokeoUzi wa Wanafiki wakiwa katika ubora wao
Last game Liverpool v/s Astonvilla Oxlade Chamberlain alipiga shuti na Aston Villa akanawa lakini hakuna Mtu aliyelalamika kuhusu VAR kutunyima tuta.
Lakini leo imetokea kwa Liverpool basi kila Mtu kawa blamer
Bernardo silva alitoa pasi kwa mkono hilo hawaliongeleianza kwanza na goli kengeza alilofunga Manure dhidi ya Liverpool kwenye mechi iliyopita pale OT.
halafu rudi kwenye goli halali lililokataliwa la Firmino vs Aston Villa wiki iliyopita.
halafu uje jana vs ManCity uone Bernardo Silva alifanya nini na mkono wake kabla mpira haujamfikia TAA.
ndiposa utajua Liverpool anabebwa, habebwi!
sijaelewa una maana gani? Unakubali Refer alikua sawa ama unawasikikliza ma pundit ambao wengi hujadili kwa mapenzi ya timu zao. Rejea sheria iliyobadilishwa na EPL msimu huu kwa kutumia VAR. Ingia katika EPL website ndiyo utajua kwanini refer aliruhusu lile goal. Mareferii wote wastaafu wamemuunga mkono referii maana wanasema hata kama angeenda kuianglia VR asingebadilisha matokeo. Kosa la refa lilikua kutotoa adhabu pale Mcghezaji wa City alipounawa ule mpira. Kwasababu hakuchukua hatua kuwapatia free kick Liverpool hivyo kilichoendelea pale hakuna kosa liliofanyika sababu sheria inasema mpira uli deflect kutoka kwa mchezaji mwingine na kumgusa mchezaji wa upinzani hautakuwa kosa sababu mwelekeo haukulengwa kwenda kwa huyo mchezaji.Refa kukataa kutoa penat katika ule cheza wa Liva na Man City ilitakiwa uwe na Moyo wa Chuma na si sheria za soka. Mbaka leo yale matukio nikiyakumbuka siamini katika Mechi kubwa kama ile Refa anaweza kufanya vituko vile bahati nzuri yale matukio yametokea Refa akiyaona kwa ufasaha mkubwa.