Je, Liverpool anaandaliwa mazingira?

Je, Liverpool anaandaliwa mazingira?

Mkuu watu wanaumia roho Hadi wanaanzisha nyuzi,hayo yote yaliyofanwa dhidi ya LFC hukuona uzi wwt ukiianzishwa juu ya VAR...Sasa leo waliokuwa na matokeo yao mfukoni wiki imeenza vibaya wamekuja na Uzi ha ha ha ha VAR INAMBEBA LFC
Mkuu siyo kutoependa Liva bali mkeka umebuma. watu walitegemea kupata laki halafu VAR inawabumisha
 
Waingereza washaandaa kumpa ubingwa Liverpool, hiyo ni mechi ya 5 kwa msimu huu Liver anashinda kwa magumashi. HII LIGI ISHAKUWA YA KIPUUZI.
 
Watu wanaandaliwa.
Kwa hivyo Origi anafanyiwa faul na kupokonywa mpira, refa anapotezea,
Inapigwa counter attack, Rashiford anawafunga Liverpool.
Liverpool inapoteza point 2 wewe bado unawaza Liverpool inaandaliwa kwa upendeleo kuwa bingwa?

Kama umewahi kusikia consipiracy theory ndio kama hii dhana yako.

Kubalini Man City na Guardiola walizidiwa mbinu, na matumizi sahihi ya mipira ya mashambulizi.
Klopp ni bingwa wa kutengeneza timu hatari ktk transition wakati wanashambulia.
Ukija kuongeza switch play ya wale Full backs wa Liverpool (Trent Alexander Anold na Andy Robertson) inakuwa hatari.

Accept defeat, get over it and plan for next encounter. Don't dwell on negative moment it will drain your energy.
 
Joel Matip anapigwa roba ya mbao golini kwa Newcastle, ananyimwa penati bado unasema Liverpool inaandaliwa kuwa bingwa?

Sadio mane anachezewa faulo kwenye boksi ananyimwa penati na kupewa Yellow card, bado unasema liverpool anaandaliwa kuwa bingwa kwa upendeleo?

Matukio ni mengi sana natamani niendelee lakini haitabadili mtazamo wako kwa vile umeshaumizwa na mafanikio ya relentless and formidable Liverpool FC, The winning team.
 
Ile Mechi ya Liva na Man City imewafanya Waingereza wafungwe midomo kukosoa Makosa ya kiuchezeshaji katika Ligi nyingine na kuna baadhi ya Mashabiki na Wachambuzi wanadai kama uchezeshaji wa soka ukiendelea kuwa vile utawafanya baadhi ya Makocha na Wachezaji nyota kuikimbia ligi pendwa.
 
Bernardo silva alitoa pasi kwa mkono hilo hawaliongelei

Pili hawaongelei kitendo cha sterling kumshikisha mpira trent makusudi kabisa
Uzuri mkono wa trent ulkua on its natural position... Achana na sheria mpya ya epl but kuna sheria inaongelea kuhusu mkono kuwa kwenye its natural position

Tatu hawasemei tulichofanywa mechi y manchester united from their goal
Tuanzebe kushika mpir dakika ya tisin na nne.. Wala hatukulalamika sehem

Hawaongelei mechi yetu na aston villa jamaa aliunawa kabisa mkono... Var kukataa goli letu

This people are stupid na ni wapumbavu ni waweka mikeka flani ambao kwa akili zao za kipumbavu waliamini man city atamfunga liverpool
Sasa ndio umeandika nini mkuu?watu wanaiponda VAR na wewe pia unaiponda hivyohivyo kwa kuorodhesha lundo la matukio.....!!!cha kushangaza unatamatisha kwa kuitetea ,mimi sisemi kuwa liver wanaandaliwa mazingira ila nasema VAR ni upuuzi....inachagua matukio ya kutolea maamuzi....
 
Kwa hivyo Origi anafanyiwa faul na kupokonywa mpira, refa anapotezea,
Inapigwa counter attack, Rashiford anawafunga Liverpool.
Liverpool inapoteza point 2 wewe bado unawaza Liverpool inaandaliwa kwa upendeleo kuwa bingwa?

Kama umewahi kusikia consipiracy theory ndio kama hii dhana yako.

Kubalini Man City na Guardiola walizidiwa mbinu, na matumizi sahihi ya mipira ya mashambulizi.
Klopp ni bingwa wa kutengeneza timu hatari ktk transition wakati wanashambulia.
Ukija kuongeza switch play ya wale Full backs wa Liverpool (Trent Alexander Anold na Andy Robertson) inakuwa hatari.

Accept defeat, get over it and plan for next encounter. Don't dwell on negative moment it will drain your energy.
Chuki tu ndo shida. Hawa ni mashabiki wa timu zingine, kitendo cha liverpool kushinda hawakuwa wanakitaka kabisa. Kimewaumiza moyo mno. [emoji1] [emoji1]
 
Sasa ndio umeandika nini mkuu?watu wanaiponda VAR na wewe pia unaiponda hivyohivyo kwa kuorodhesha lundo la matukio.....!!!cha kushangaza unatamatisha kwa kuitetea ,mimi sisemi kuwa liver wanaandaliwa mazingira ila nasema VAR ni upuuzi....inachagua matukio ya kutolea maamuzi....
VAR ni janga kubwa kwenye soka, hasa EPL sababu kule refa haendi mwenyewe kuhakiki tukio kwenye VAR kama ilivyo fanyika FIFA World Cup.

Timu kubwa karibu zote wakiwemo Liverpool wamesha athirika na maamuzi ya ovyo ya VAR.
 
Sasa ndio umeandika nini mkuu?watu wanaiponda VAR na wewe pia unaiponda hivyohivyo kwa kuorodhesha lundo la matukio.....!!!cha kushangaza unatamatisha kwa kuitetea ,mimi sisemi kuwa liver wanaandaliwa mazingira ila nasema VAR ni upuuzi....inachagua matukio ya kutolea maamuzi....
Haya sawa
 
Upande wa Liverpool au ?
Mechi ya Man u vs liver hiyo var ilikataa goli la liver, pia mechi vs villa line man alikataa goli la liver na refa akasubiri maamuzi ya var kujirudhisha, pia mechi vs man u refa aligoma kutumia var kwenye malalamiko ya liver kuhusu goli la man u
 
Sote ni mashahidi wa namna Klopp ameibadili Liverpool, ameibadili kutoka mediocrity hadi kuwa miongoni wa zile Timu tishio ulaya.

Kikwazo pekee kwenye mafanikio ya Klopp ni kiu ya Premier League ambayo hawajaipata Tangia Rais wa Tz akiwa Mzee Mwinyi, na anayeonekana kumzuia ni Pep Guardiola.

Jana wote tumeona game yenye ushindani mkali sana kati ya Pep na Klopp, game ilikuwa kali sana ila iliharibiwa na refa ambaye alikataa katu katu kutumia teknolojia licha ya matukio mbali mbali uwanjani na imekuwa mfululizo wa maamuzi mabaya ya marefa dhidi ya Man city.

Kwa muenendo wa jana nadhani kuna campaign dhidi ya Man city ambayo mosi, wasichukue EPL mara 3 mfululizo ambapo itaharibu dhana ya ugumu wa Premier League na pili Liverpool wachukue ubingwa na wafute mwiko wa kutolichukua kombe kwa muda mrefu.

Kwa hali hii, unadhani mbinu za figisu dhidi ya Man City na Pep zitafaulu?
Kuna kaukweli fulani hivi.
 
Back
Top Bottom