Mkuu siyo kutoependa Liva bali mkeka umebuma. watu walitegemea kupata laki halafu VAR inawabumishaMkuu watu wanaumia roho Hadi wanaanzisha nyuzi,hayo yote yaliyofanwa dhidi ya LFC hukuona uzi wwt ukiianzishwa juu ya VAR...Sasa leo waliokuwa na matokeo yao mfukoni wiki imeenza vibaya wamekuja na Uzi ha ha ha ha VAR INAMBEBA LFC
Hivi we una akili kweli wewe ?Namshukuru raisi magufuli make jana Liverpool imeshinda mungu ambariki raisi wetu
Kwa hivyo Origi anafanyiwa faul na kupokonywa mpira, refa anapotezea,Watu wanaandaliwa.
Kwasababu imekufavor wewe????Wala sio upuuzi inasaidia kupunguza mazoea.
Sasa ndio umeandika nini mkuu?watu wanaiponda VAR na wewe pia unaiponda hivyohivyo kwa kuorodhesha lundo la matukio.....!!!cha kushangaza unatamatisha kwa kuitetea ,mimi sisemi kuwa liver wanaandaliwa mazingira ila nasema VAR ni upuuzi....inachagua matukio ya kutolea maamuzi....Bernardo silva alitoa pasi kwa mkono hilo hawaliongelei
Pili hawaongelei kitendo cha sterling kumshikisha mpira trent makusudi kabisa
Uzuri mkono wa trent ulkua on its natural position... Achana na sheria mpya ya epl but kuna sheria inaongelea kuhusu mkono kuwa kwenye its natural position
Tatu hawasemei tulichofanywa mechi y manchester united from their goal
Tuanzebe kushika mpir dakika ya tisin na nne.. Wala hatukulalamika sehem
Hawaongelei mechi yetu na aston villa jamaa aliunawa kabisa mkono... Var kukataa goli letu
This people are stupid na ni wapumbavu ni waweka mikeka flani ambao kwa akili zao za kipumbavu waliamini man city atamfunga liverpool
Chuki tu ndo shida. Hawa ni mashabiki wa timu zingine, kitendo cha liverpool kushinda hawakuwa wanakitaka kabisa. Kimewaumiza moyo mno. [emoji1] [emoji1]Kwa hivyo Origi anafanyiwa faul na kupokonywa mpira, refa anapotezea,
Inapigwa counter attack, Rashiford anawafunga Liverpool.
Liverpool inapoteza point 2 wewe bado unawaza Liverpool inaandaliwa kwa upendeleo kuwa bingwa?
Kama umewahi kusikia consipiracy theory ndio kama hii dhana yako.
Kubalini Man City na Guardiola walizidiwa mbinu, na matumizi sahihi ya mipira ya mashambulizi.
Klopp ni bingwa wa kutengeneza timu hatari ktk transition wakati wanashambulia.
Ukija kuongeza switch play ya wale Full backs wa Liverpool (Trent Alexander Anold na Andy Robertson) inakuwa hatari.
Accept defeat, get over it and plan for next encounter. Don't dwell on negative moment it will drain your energy.
hivi umeelewa ulichoweka hapa ?Referee hakua na sababu ya VAR sababu alikua karibu na tukio na sheria naijua kama haikua penalty soma sheria hii kama unakijua kiingereza pia kila refa kaunga mkono kasoro pundits ambao walikua wachezaji.
View attachment 1260771
VAR ni janga kubwa kwenye soka, hasa EPL sababu kule refa haendi mwenyewe kuhakiki tukio kwenye VAR kama ilivyo fanyika FIFA World Cup.Sasa ndio umeandika nini mkuu?watu wanaiponda VAR na wewe pia unaiponda hivyohivyo kwa kuorodhesha lundo la matukio.....!!!cha kushangaza unatamatisha kwa kuitetea ,mimi sisemi kuwa liver wanaandaliwa mazingira ila nasema VAR ni upuuzi....inachagua matukio ya kutolea maamuzi....
Haya sawaSasa ndio umeandika nini mkuu?watu wanaiponda VAR na wewe pia unaiponda hivyohivyo kwa kuorodhesha lundo la matukio.....!!!cha kushangaza unatamatisha kwa kuitetea ,mimi sisemi kuwa liver wanaandaliwa mazingira ila nasema VAR ni upuuzi....inachagua matukio ya kutolea maamuzi....
Mechi ya Man u vs liver hiyo var ilikataa goli la liver, pia mechi vs villa line man alikataa goli la liver na refa akasubiri maamuzi ya var kujirudhisha, pia mechi vs man u refa aligoma kutumia var kwenye malalamiko ya liver kuhusu goli la man uUpande wa Liverpool au ?
Kuna kaukweli fulani hivi.Sote ni mashahidi wa namna Klopp ameibadili Liverpool, ameibadili kutoka mediocrity hadi kuwa miongoni wa zile Timu tishio ulaya.
Kikwazo pekee kwenye mafanikio ya Klopp ni kiu ya Premier League ambayo hawajaipata Tangia Rais wa Tz akiwa Mzee Mwinyi, na anayeonekana kumzuia ni Pep Guardiola.
Jana wote tumeona game yenye ushindani mkali sana kati ya Pep na Klopp, game ilikuwa kali sana ila iliharibiwa na refa ambaye alikataa katu katu kutumia teknolojia licha ya matukio mbali mbali uwanjani na imekuwa mfululizo wa maamuzi mabaya ya marefa dhidi ya Man city.
Kwa muenendo wa jana nadhani kuna campaign dhidi ya Man city ambayo mosi, wasichukue EPL mara 3 mfululizo ambapo itaharibu dhana ya ugumu wa Premier League na pili Liverpool wachukue ubingwa na wafute mwiko wa kutolichukua kombe kwa muda mrefu.
Kwa hali hii, unadhani mbinu za figisu dhidi ya Man City na Pep zitafaulu?