Je M-wekeza ya vodacom wanazingatia formula ya compound interest ya kwenye topic ya sequence and series?

Je M-wekeza ya vodacom wanazingatia formula ya compound interest ya kwenye topic ya sequence and series?

Joined
Jul 10, 2014
Posts
23
Reaction score
14
Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza kupata kias cha Tsh. 33,945,673.899? Kama formula ya compound interest ilivyo? Au wao voda wanakokotoa vipi. Naomba kueleweshwa ndugu.
 
Iyo 10m unaweka
a). Kila mwezi
B). Kila mwaka
C). Au unaweka mara moja na kusubiri 10 years
 
Back
Top Bottom