Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
8,106
Reaction score
3,966
Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?

State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage.

State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI ili kuleta mabadiliko kwa minajiri yakuwanufaisha wao binafsi.

Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.
 
Tanzania, kama taifa, ina safari ndefu sana! Selfish politicians serving their own selfish bellies at the expense of the masses. Pathetic!
By the way nchi hii si ya kina Kikwete, Rizwan, SSH & Company ama mtu yeyote yule. This is our country we should DEMAND ACCOUNTABILITY TRANSPARENCY and FAIRNESS devoid of any patronage from ANY quarters!!
 
By the way nchi hii si ya kina Kikwete, Rizwan, SSH & Company ama mtu yeyote yule. This is our country shoukd DEMAND ACCOUNTABILITY TRANSPARENCY and FAIRNESS devoid of any patronage from ANY quarters!! Ama ni vipi mkuu?
Hii nchi ni yao, na kama huamini jaribu kuhoji uone utakavyoshughulikiwa. Nchi ni yetu wote kwenye maandishi, lakini kwenye keki ya taifa wao ndio wanufaika. Na vile Magufuli kawafundisha kukaa madarakani bila kujali box la kura, hapo ndio shughuli ilipo. Jiandae tu kwa machafuko ili mabadiliko utakayo yatokee.
 
Machafuko watakuwa wameyataka wenyewe. Angalia kinachoendelea Sudan. Watu wakishachoka hata uwaue wanakuja tu. Utoe vifaru. Ndo wanavirukia. The only thing viongozi kuzisoma nyakati.
 
Ngoja tuone kwani ni mapema sana kutabiri kijacho huko mbele.
 
Hii nchi ni yao, na kama huamini jaribu kuhoji uone utakavyoshughulikiwa. Nchi ni yetu wote kwenye maandishi, lakini kwenye keki ya taifa wao ndio wanufaika. Na vile Magufuli kawafundisha kukaa madarakani bila kujali box la kura, hapo ndio shughuli ilipo. Jiandae tu kwa machafuko ili mabadiliko utakayo yatokee.
Kwahiyo before Magufuli CCM Ilikua inashinda uchaguzi?
 
Kwahiyo before Magufuli CCM Ilikua inashinda uchaguzi?
Huyu tindo alikuwa Ni GT Sana lkn tangu afe mwendazake kila hoja akibishana na mtu lazima aongelee Magu, ni kma vile kifo cha Magu kimempa ugonjwa, Magufuli alishazikwa Bora aende kwenye kaburi lake, ili amalize hizo chuki za kuchukia wafu. Jaribu kufatilia hoja zake zote Kwa asilimia 70 utakuta amemtaja Marehemu, hebu punguza huo ugonjwa mkuu.
 
Back
Top Bottom