Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Mkuu harakati za ukombozi sio lelemama...What are you trying to say?
Unavosema Kupaza sauti za heshima sijui ulimaanisha nini??? hizo sauti za heshima zipoje?? na hizo sauti unapaza ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu harakati za ukombozi sio lelemama...What are you trying to say?
Nimekupata mkuu.Mkuu harakati za ukombozi sio lelemama...
Unavosema Kupaza sauti za heshima sijui ulimaanisha nini??? hizo sauti za heshima zipoje?? na hizo sauti unapaza ukiwa wapi?
Nakubaliana nawe.Nimeielewa mantiki lakini sikubaliani na kumgeuza kuwa ni staa fulani kisa mama kamtoa pale.
Kwa hiyo tupo kwenye vicious cycle ambayo hakuna dalili za kutoka...CCM inaendelea kuandaa vijana mpaka miaka hii ikitumia tabia ya jamii yetu kuwa ni ya kulalamika na sio kuchukua hatua zaidi.
Wengi wetu tunalalamika maongezini na mitandaoni kwa jumla lakini linapokuja suala la kuchukua hatua kwa maana ya kujiunga na vyama vya kisiasa na kuanzisha shughuli za kisiasa zenye mlengo wa kimaendeleo ni wachache sana wenye kuwa tayari.
Hao hao watoto wa miaka ya 2000 wanaozaliwa na kutumia simu janja usishangae wengi wao ni walalamikaji tu. Wale wachache wenye kuwa tayari kufanya siasa wanawahiwa mapema na CCM.
Hii ni nchi yao sasa. Msoga gang ndio wanaendesha nchi sasa kwa rimoti. Namlaumu Magu kwa huyu makamu mwenye ndimi mbili.By the way nchi hii si ya kina Kikwete, Rizwan, SSH & Company ama mtu yeyote yule. This is our country we should DEMAND ACCOUNTABILITY TRANSPARENCY and FAIRNESS devoid of any patronage from ANY quarters!!
Magufuli kawafundisha? Daah. Blaza huoni hata haya, yani magufuli amekufa ila bado anawatesa hivi. Kikwete hamkumlalamikia alimpora slaa urais. Leo imekuwa ni magufuli? Magu mbona hakumfunga mbowe. Mbona hapakuwa na mfumuko wa bei.Hii nchi ni yao, na kama huamini jaribu kuhoji uone utakavyoshughulikiwa. Nchi ni yetu wote kwenye maandishi, lakini kwenye keki ya taifa wao ndio wanufaika. Na vile Magufuli kawafundisha kukaa madarakani bila kujali box la kura, hapo ndio shughuli ilipo. Jiandae tu kwa machafuko ili mabadiliko utakayo yatokee.
Magufuli kawafundisha? Daah. Blaza huoni hata haya, yani magufuli amekufa ila bado anawatesa hivi. Kikwete hamkumlalamikia alimpora slaa urais. Leo imekuwa ni magufuli? Magu mbona hakumfunga mbowe. Mbona hapakuwa na mfumuko wa bei.
Aiseeee. Shame on you. Najua mnasema magu kawafundisha kuchoma masoko. Kawafundisha mifumuko ya bei, kawafundisha kumfunga mbowe.
Magufuli amekufa lkn ndio shetani mkuu, si ndio. Aya furahia
Tulieni sasa keki igawiwe kisawasawa, hata makombo hayataanguka chini na yakianguka yatakusanywaAlikuwa ni kiongozi dhalimu na muovu fullstop. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Makombo hayataanguka. Ukimsikiliza mtanzania kila rais hafai kuwa madarakani.Tulieni sasa keki igawiwe kisawasawa, hata makombo hayataanguka chini na yakianguka yatakusanywa
Aliwaongezea mbinu za kimafia.Kwahiyo before Magufuli CCM Ilikua inashinda uchaguzi?
Jay Jay pamoja na hayo hata sisi Watanzania tujilaumu maana hamna wa kuinua sauti. Mtu akishainua sauti anaanza kugongwa na maneno, hatimaye anaogopa anaisha PRESSER nakuomba MSAMAHA Watanzania na Rais. Sasa ktk hili tujilaumu sisi pia.Hii ni nchi yao sasa. Msoga gang ndio wanaendesha nchi sasa kwa rimoti. Namlaumu Magu kwa huyu makamu mwenye ndimi mbili.
Ni kweli ni vicious cycle ikiwemo ya ignorance yetu pia. Maana tabia yetu ni wait and see attitude!Kwa hiyo tupo kwenye vicious cycle ambayo hakuna dalili za kutoka...
nakuelewa sana na inasikitisha.....at least tunakubaliana kwamba kuitoa ccm siyo rahisi sana kama tunavyodhani...
kuna haja ya kueneza civic education kwa kiwango kikubwa na kwa muda mrefu mpaka wenye nchi watambue haja na umuhimu wa mabadiliko...
Aisee!!Magufuli kawafundisha? Daah. Blaza huoni hata haya, yani magufuli amekufa ila bado anawatesa hivi. Kikwete hamkumlalamikia alimpora slaa urais. Leo imekuwa ni magufuli? Magu mbona hakumfunga mbowe. Mbona hapakuwa na mfumuko wa bei.
Aiseeee. Shame on you. Najua mnasema magu kawafundisha kuchoma masoko. Kawafundisha mifumuko ya bei, kawafundisha kumfunga mbowe.
Magufuli amekufa lkn ndio shetani mkuu, si ndio. Aya furahia
Na ukilinganisha na sasa mambo yakoje?Alikuwa ni kiongozi dhalimu na muovu fullstop. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Interesting!Tulieni sasa keki igawiwe kisawasawa, hata makombo hayataanguka chini na yakianguka yatakusanywa
Hii keki inagawiwaje mkuu?Tulieni sasa keki igawiwe kisawasawa, hata makombo hayataanguka chini na yakianguka yatakusanywa
Na ukilinganisha na sasa mambo yakoje?
Yatakusanywa na kupewa mbwa.Tulieni sasa keki igawiwe kisawasawa, hata makombo hayataanguka chini na yakianguka yatakusanywa
Riz1 ni Waziri wa Ardhi?! inasikitisha sanaHii ni nchi yao sasa. Msoga gang ndio wanaendesha nchi sasa kwa rimoti. Namlaumu Magu kwa huyu makamu mwenye ndimi mbili.