Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Ukweli wa tatu kuhusu maisha..ukiacha kifo na kulipa kodi.ni mabadiliko.maisha bila mabadiliko ni maisha ya waliokufa.watake,wasitake change will come..we are just bargaining for the price of the change..labda sio kwenye kizazi chetu..but jukumu letu ni kupanda mbegu itakayoleta mabadiliko..change is coming..and very soon...
 
Na sijui kwa nini wanaogopa changes ambazo in essence ni zingekuwa na FAIDA kubwa kwa Taifa letu ta Tanzania more so for Posterity. Yaani sielewi kabisa.
 
They inherrently lack the stamina required to manage and steer the changes..bahati mbaya system yetu iko corrupted inatupa viongozi wenye mentality yo kuogopa mabadiliko..wao wanataka iwe tuu bussines as usual..but kama ilivyo kwenye ltd companies ambayo management ina jukumu la kumaximize wealth ys shareholders..viongozi wetu wana maximize welfare ya walioweka madarakani ' in state capture na sio watanzania wengi ambao wanajua hawakuwachagua kwa kura..watz tuache ostrich mentality and lets face our problems
 
I do concur with you. Na ku quote. "Wana maximize welfare ya waliweka madarakani" Hapa ni kweli kabisa. Ni makofi shangwe minus reasoning.
 
Kwahiyo before Magufuli CCM Ilikua inashinda uchaguzi?
JPM yeye katuthibitishia kuwa CCM hawaamini kuhusu Uchaguzi, wao wanaamini katika kupokezana kutawala wao kwa wao ndani ya chama chao,na hakuna wakuwapangia sio Katiba wala Wananchi.
 
Sio JPM,Ni miaka yote toka enzi za Nyerere CCM haijawahi kuamini ktk uchaguzi. Na imejenga fikra kwa wananchi kuwa Rais atakayepitishwa CCM ndio huyohuyo. Nakumbuka 2015 ccm walipompitisha Magufuli kugombea mama yangu alinambia huyo ndio Rais, kwanini?Akasema CCM ndio wanaamua nani awe Rais. So kuwa Rais nchi hii ni Maamuzi ya CCM na sio mtu mmoja.Tunapojenga hoja ambazo ni subjective, maana halisi hupungua. Mtu anasema Magufuli aliharibu uchaguzi, Lini uchaguzi umewahi kuwa huru na haki?Tuliona machafuko 2001 huko Zanzibar alikua ni Magufuli?Machafuko ya uchaguzi wa meya Arusha 2011 alikua ni Magufuli?Utaona ni mifumo ya ccm ambayo iko enzi na enzi.Nakumbuka 2010 Mpendazoe Alishinda Segerea lkn nguvu ilitumika kumbeba Mahanga.
 
Kwa kuwa si keep track record ya ni namba# ngapi, Rudia swali lako please kama itakupendeza!
Hapana.

Mimi nasema wewe muongo, hakuna sehemu uliyoandika unachodai uliandika..

Thibitisha kwamba wewe si muongo.
 
Hii nchi ni yao, na kama huamini jaribu kuhoji uone utakavyoshughulikiwa. Nchi ni yetu wote kwenye maandishi, lakini kwenye keki ya taifa wao ndio wanufaika. Na vile Magufuli kawafundisha kukaa madarakani bila kujali box la kura, hapo ndio shughuli ilipo. Jiandae tu kwa machafuko ili mabadiliko utakayo yatokee.
Can't disagree...we share this feeling.

Nchi ni ya watawala na wanakula kwa zamu, wametoka sukuma gang, wameingia wahuni(slow slow's phrase)....the same rules walitumia sukuma Gang kuwatoa wasiowataka, ndiyo zimetumika dhidi yao...it's a cycle....

Ni mpaka wananchi watakaposema wanahitaji mabadiliko ndiyo mambo yatabadilika....huwa tunatolea mfano wa Kenya, tunasahau namna Kanu ilivyowachezea wakenya mpaka waliposema sasa imetosha, ndiyo mabadiliko yakatokea...

Bongo bado sana....naiona kijani wakiendelea kutawala for about 15 to 30 years to come mpaka generation ibadilike from hii current generation ya watawala ambao ni born between 60s mpaka late 70s iondoke na new generation born in the new millennia kuanzia 2000s...hao ndiyo watabadilisha hii nchi.

Generation ya 80s and 90s inafata foot steps za wazazi wao kwa kiwango kikubwa, full of bragging, pampered life style na ujinga mwingi...it's a wasted generation.
 
Kwahiyo before Magufuli CCM Ilikua inashinda uchaguzi?
Magufuli amewafungua macho kwamba wakishindwa kuiba kwa siri basi wanaweza kuiba kwa dhahiri nanyi hamtofanya chochote....
 
Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?

State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage.

State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI ili kuleta mabadiliko kwa minajiri yakunufaisha Watu binafsi.

Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.
Team Lukuvi katika ubora wenu. Unamuongelea huyo mzee kama vile unamjua sana. Ni mla rushwa tu, mpigaji tu kama wengine wote.
 
Can't disagree...we share this feeling.

Nchi ni ya watawala na wanakula kwa zamu, wametoka sukuma gang, wameingia wahuni(slow slow's phrase)....the same rules walitumia sukuma Gang kuwatoa wasiowataka, ndiyo zimetumika dhidi yao...it's a cycle....

Ni mpaka wananchi watakaposema wanahitaji mabadiliko ndiyo mambo yatabadilika....huwa tunatolea mfano wa Kenya, tunasahau namna Kanu ilivyowachezea wakenya mpaka waliposema sasa imetosha, ndiyo mabadiliko yakatokea...

Bongo bado sana....naiona kijani wakiendelea kutawala for about 15 to 30 years to come mpaka generation ibadilike from hii current generation ya watawala ambao ni born between 60s mpaka late 70s iondoke na new generation born in the new millennia kuanzia 2000s...hao ndiyo watabadilisha hii nchi.

Generation ya 80s and 90s inafata foot steps za wazazi wao kwa kiwango kikubwa, full of bragging, pampered life style na ujinga mwingi...it's a wasted generation.
Hao generation ya kuanzia 2000 ni bogus tu hawana lolote la maana. Wanachojua ni kupost picha na video zao instagram na kusuka nywele.

Wanatumia vioo na meza za kujipodoa za dada zao, hawana lolote la maana. Labda ungeniambia hawa watoto wadogo zaidi ambao hawajavuka miaka mitano na wanaozaliwa leo.
 
Upo sawa....

nilikusudia generation ya millennia kwa ujumla, kizazi cha 2000 kuja mbele, wale ambao hawajui habari za uhuru, Nyerere, mapinduzi etc....generation ambayo concern ni kuona maisha yao yanakuwa bora zaidi vile walivyoyakuta...

Mtoto ambaye kazaliwa miundo mbinu ipo tayari huwezi kumdanganya na story za barabara kuwa ni maendeleo...that generation ndiyo itabadili nchi...
 
Team Lukuvi katika ubora wenu. Unamuongelea huyo mzee kama vile unamjua sana. Ni mla rushwa tu, mpigaji tu kama wengine wote.
Sawa tukubaliane na hayo uliyoyasema. Jamba zuri lolote alilolifanya wizara ya ardhi tangu aingie huyu mzee? Sijamema Lukuvi mkamilifu bali mchapa kazi. Elewa mantiki yangu.
 
Nimeielewa mantiki lakini sikubaliani na kumgeuza kuwa ni staa fulani kisa mama kamtoa pale.
 
Upo sawa....

nilikusudia generation ya millennia kwa ujumla, kizazi cha 2000 kuja mbele, wale ambao hawajui habari za uhuru, Nyerere, mapinduzi etc....generation ambayo concern ni kuona maisha yao yanakuwa bora zaidi vile walivyoyakuta...

Mtoto ambaye kazaliwa miundo mbinu ipo tayari huwezi kumdanganya na story za barabara kuwa ni maendeleo...that generation ndiyo itabadili nchi...
CCM inaendelea kuandaa vijana mpaka miaka hii ikitumia tabia ya jamii yetu kuwa ni ya kulalamika na sio kuchukua hatua zaidi.

Wengi wetu tunalalamika maongezini na mitandaoni kwa jumla lakini linapokuja suala la kuchukua hatua kwa maana ya kujiunga na vyama vya kisiasa na kuanzisha shughuli za kisiasa zenye mlengo wa kimaendeleo ni wachache sana wenye kuwa tayari.

Hao hao watoto wa miaka ya 2000 wanaozaliwa na kutumia simu janja usishangae wengi wao ni walalamikaji tu. Wale wachache wenye kuwa tayari kufanya siasa wanawahiwa mapema na CCM.
 
Back
Top Bottom