- Thread starter
- #201
Haya bana.JPM alichowaonyesha wahuni ni kuwa ukitumia dola vizuri ,hakuna mtu wa kukufanya lolote,,,, ss yy kapumzika jiandaeni kufanyiwa vitu vya ajabu mbele ya macho yenu ,na hamtafanya lolote zaidi ya kulalama in anonymity🙂🙂