Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

M

Tuache kumsemasema sana Mama yetu, kwa theories za political science.
Raisi hawezi kuongoza nchi bila strategies, tumwache finally " the end justifies the means"
Kwa mwendo huu tuuonao kwake, we don't need to waste time and precious opportunity needed for positive change just to wait till the end. We already know how her end looks like. It's high time to hamper her moves altogether!
 
Head of State hawezi kufanya state capture.

Anaweza kufanya maamuzi vibaya, lakini hiyo si state capture.

Kusema Head of State kafanya state capture ni sawa na kusema mwenye nyumba kujiibia nyumba yake mwenyewe.

Mwenye nyumba anaweza kuiharibu nyumba yake, lakini hawezi kujiibia nyumba yake. Kwa sababu ni yake tayari.

Atajiibiaje nyumba yake?

Katiba inampa rais haki ya kuteua na kutengua mawaziri anavyotaka.

Rais katumia haki yake hiyo.

Sasa, Rais kutumia haki yake ya kikatiba ni state capture?
You are simply speaking the same thing. Kufanya makosa ya uongozi, ama kwa kujua, kwa makusudi au kutojua, ni akin na kujiibia. Because akili yako mbovu ndiyo imefanya maamuzi dufu & ^boga^ (bogus)!
 
Muandishi wa sayansi wa kimarekani, Carl Sagan, alisema kwamba , extraordinary claims require extraordinary evidence.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya run of the mill nepotism na state capture.

Sasa, hii mnayoiita state capture, mna ushahidi gani kwamba ni state capture kweli na si run of the mill nepotism na garden variety fuckery ya kitanzania tu?
Kuna vitu vingine ambavyo ni rahisi sana kutambua. You don't have to be a rocket scientist. Achana kabisa na zile habari za kuanzisha kamati ili ikachunguze kamati iliyoundwa kufuatilia ropoti ya kamati ya kamati ndogo ya ubadhirifu wa mali za umma. This is blindness of untold magnitude! pathetic & shame!

We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light." - Plato.
 
Kwa ujumla FUJO hazisaidii hata kidogo, maana huleta collateral damage mfano watu kuuwawa na pia uharibifu wa mali. Silaha kubwa ni kupaza sauti hadi walioko juu wasikie kwamba hili na hili tumekosea. Civil disobedience kwa Mwafrica hataelewa yeye atamaanisha ni vita dhidi ya Serikali of which hiyo si njia nzuri. However Diplomatic civil disobedience is acceptable/ inakubalika. Sijui kama nimekujibu vyema.
Naambiwa wabadhirifu wa mali za umma na mafisadi kawaida yao masikio ya diplomasia huwa yamezibwa na ulafi na ulevi wa mali za mwananchi wanazozihonyoa day in and day out almost free of charge.
 
Civil dosobedient Yes but machafuko hapana. Tuna nchi moja tu tulitopewa na Mungu na hatuna nchi nyingine. Civil dosobedient ambayo kwa Kiingereza inakuwa defined kama
  1. "the REFUSAL to comply with certain laws considered UNJUST as a PEACEFUL form of political protest.
Ile ya watawala walioaminiwa madaraka makubwa ya umma kujiendea kivyao kwa maslahi yao binafsi, yenyewe tunaiitaje? Tunaiweka kwenye kundi gani?
 
Nchi hii ina zaid ya matatizo,wanaoitwa wasomi wengi wanafk na wajinga bdo wapo lukuki
Ni vizuri viongozi kuelewa kuwa, kwa sasa watu wengi wameenda shule yaani wasomi ni wengi na ni critical thinkers
Mwal Nyerere alipoona watu wameanza kulilia vyama vingi yeye akawa mjanja akawaambia wimbi hili ni zito duniani kote. Si ndo akakubali nchi kuwa na mfumo wa vyama vingi?
Kwa wale wanaofikiri Watanzania ni wale walewatajikuta siku moja mtu haamini kama ni Watanzania ama wageni. Kuongoza ktk kipindi hiki cha utandawazi na wengi wamesoma ni lazima mtu awe na hekima. Either ukubaliabadiliko
Au mabadiliko YAKUBADILI wewe!!
 
Aiseeeee! Hivi kweli ^utajengaje maisha^ yako wakati Bi Mikopo anayabomoa?
Huyo" Bi Mkopo" hanihusu hata kidogo kwenye maisha yangu. Kwanza tangu aingie madaraka naina bora tu! Mwenda zake alikua hivyo.

Hizi "Cheap politics" acheni jamani. .....mnapiga makelele "kukopa kukopa" mtu yoyote mwenye akili timamu anajua bila kukopa hufiki kokote. Wafanyabiasha hata wadogo wadogo hapa najua wananielewa. Acheni negative cloud for nothing.

Huku mtaani kila siku watu wanalia benki hazitoi mkopo kwa watu wa chini. ....sasa kama mikopo ni mibaya mgekuwa mnalia lia

Kwa kifupi Hizi sera tangu awamu ya 5 mpaka hii. ....mimi hazina chochote kwangu. Bado kila siku napigwa najua kutafuta rizki yangu. Biashara yangu Bado haija breakeven mwaka wa pili huu. Sitakubali washenzi hawa waniongezee stress

SIASA NI MAVI TU
 
^If you just keep cool wakati unafanyiwa torture, mtesi wako atadhani unaenjoi the process, na hivyo atazidisha vishindo vya maufundi yake ya kukubamiza & kuku-oppress.^
Hapo ni kweli kabisa. Hasa ma Sadist
 
Ile ya watawala walioaminiwa madaraka makubwa ya umma kujiendea kivyao kwa maslahi yao binafsi, yenyewe tunaiitaje? Tunaiweka kwenye kundi gani?
Kundi la Walevi wa madaraka. Mtu mlevi huwa anafanya vitu vya hovyo under influence ya ulevi. Vivyo hivyo walio na madaraka bila kuelewa ni kwa nini aliaminiwa akapewa hayo madaraka.
 
Naambiwa wabadhirifu wa mali za umma na mafisadi kawaida yao masikio ya diplomasia huwa yamezibwa na ulafi na ulevi wa mali za mwananchi wanazozihonyoa day in and day out almost free of charge.
Ipo siku.
 
M

Tuache kumsemasema sana Mama yetu, kwa theories za political science.
Raisi hawezi kuongoza nchi bila strategies, tumwache finally " the end justifies the means"
Yaani we excuse the wrongs to justfy the means? Mkuu is it tennable
M

Tuache kumsemasema sana Mama yetu, kwa theories za political science.
Raisi hawezi kuongoza nchi bila strategies, tumwache finally " the end justifies the means"
You mean we allow the wrongs in the name of "The end justfies the means" Is this tennable?
 
Kwa mwendo huu tuuonao kwake, we don't need to waste time and precious opportunity needed for positive change just to wait till the end. We already know how her end looks like. It's high time to hamper her moves altogether!

Kwa mwendo huu tuuonao kwake, we don't need to waste time and precious opportunity needed for positive change just to wait till the end. We already know how her end looks like. It's high time to hamper her moves altogether!
How could we hamper her like cutleries just for sake of it overlooking the clear picture of what we expect of her?
 
You are simply speaking the same thing. Kufanya makosa ya uongozi, ama kwa kujua, kwa makusudi au kutojua, ni akin na kujiibia. Because akili yako mbovu ndiyo imefanya maamuzi dufu & ^boga^ (bogus)!
Wengine sijui kama ni uelewa mdogo?
 
Back
Top Bottom