Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kwani wewe umezaa mtoto gani? Maana clinic tulikuwa tunahudhuria pamoja na wewe?utakuwa na mimba changa ulioachiwa jitahidi ule maembe mabichi......
utulize hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe umezaa mtoto gani? Maana clinic tulikuwa tunahudhuria pamoja na wewe?utakuwa na mimba changa ulioachiwa jitahidi ule maembe mabichi......
utulize hasira
Wewe akili yako ndefu imekufikisha wapi? Kwani huchutami wakati wa kunya?Hawa jamaa akili zao fupi sana......
Ni kweli tulihudhuria wote clinic mke wangu amezaa mtoto wa kike......Kwani wewe umezaa mtoto gani? Maana clinic tulikuwa tunahudhuria pamoja na wewe?
Wewe mwenyewe mwanamke, uliwezaje kuoa? Au nyinyi ndiyo wenye ndoa za jinsia moja?Ni kweli tulihudhuria wote clinic mke wangu amezaa mtoto wa kike......
vp ww na mimba yako kubwa umezaa mapacha nini!
Mkuu elewa kwanza Maana ya State Capture. Ukishajua swali kama hili huwezi kuliuliza tena. Pengine rudia kuisoma mada kwa Kiingereza na Tafsiri yake.Hata upinzani wanafanya State capture: Tundu Lissue alimkodi yule Job Amsterdam kwa shughuli zake binafsi na kwa manufaa yake binafsi wakati yeye yuko kwenye chama na chama kina katiba yake na muundo wake
Kwa ujumla FUJO hazisaidii hata kidogo, maana huleta collateral damage mfano watu kuuwawa na pia uharibifu wa mali. Silaha kubwa ni kupaza sauti hadi walioko juu wasikie kwamba hili na hili tumekosea. Civil disobedience kwa Mwafrica hataelewa yeye atamaanisha ni vita dhidi ya Serikali of which hiyo si njia nzuri. However Diplomatic civil disobedience is acceptable/ inakubalika. Sijui kama nimekujibu vyema.Fujo na ghasia (civil disobendience) hazitakiwi kama kuna HAKI, AMANI, MAENDELEO, UHURU, USAWA.
Tofauti na hapo hata MUNGU ataridhia fujo zitokee ili kuwakomboa watu wake!
Umepanik tanua tupiteWewe mwenyewe mwanamke, uliwezaje kuoa? Au nyinyi ndiyo wenye ndoa za jinsia moja?
...Kwa ujumla FUJO hazisaidii hata kidogo, maana huleta collateral damage mfano watu kuuwawa na pia uharibifu wa mali. Silaha kubwa ni kupaza sauti hadi walioko juu wasikie kwamba hili na hili tumekosea. Civil disobedience kwa Mwafrica hataelewa yeye atamaanisha ni vita dhidi ya Serikali of which hiyo si njia nzuri. However Diplomatic civil disobedience is acceptable/ inakubalika. Sijui kama nimekujibu vyema.
Lesbian wa Buza, labda uvae uume wa kuchonga wa plasticUmepanik tanua tupite
Tanua bana tupite ama nikubake!!?Lesbian wa Buza, labda uvae uume wa kuchonga wa plastic
Mkuu Watanzania wapo wa aina tatu hivi kwa haraka haraka...
Wapo ambao si viongozi... hawa wengi ni watu wema sana... sema wapo wachache ni chawa!
Wapo viongozi... hawa wanajisahau sana... wengi hawapo realistic. Utasikia hawaongei wakati wa kula... wengi wanaweka akili, ujuzi na utu wao rehani!
Then wapo waliowahi kuwa viongozi... hawa wengi wao wanakuwa na busara kubwa sana... ukisikia maoni wakishauri mambo ya kufanyia maboresho utabaki unashangaa... wanaongea kwa ufasaha na wanaeleweka sana.
Sasa katika mazingira hayo kama kuna kitu kimahitajika ni "Civil disobedience" mfululizo na hata ikibidi machafuko na fujo...
Systems ovu za binadamu kuna wakati hazibadiliki zenyewe bila hizo collateral damages.
Hivi unafikiri US na wababe wengine wa dunia wanagekuwa hapo walipo bila fujo, ghasia na machafuko??
Vitha ni vitha murah... Kama viongozi hawatusikilizi wakiwa madarakani wasije kutusumbua na maoni lukuki wakishang'atuka!
...
Civil dosobedient Yes but machafuko hapana. Tuna nchi moja tu tulitopewa na Mungu na hatuna nchi nyingine. Civil dosobedient ambayo kwa Kiingereza inakuwa defined kamaMkuu Watanzania wapo wa aina tatu hivi kwa haraka haraka...
Wapo ambao si viongozi... hawa wengi ni watu wema sana... sema wapo wachache ni chawa!
Wapo viongozi... hawa wanajisahau sana... wengi hawapo realistic. Utasikia hawaongei wakati wa kula... wengi wanaweka akili, ujuzi na utu wao rehani!
Then wapo waliowahi kuwa viongozi... hawa wengi wao wanakuwa na busara kubwa sana... ukisikia maoni wakishauri mambo ya kufanyia maboresho utabaki unashangaa... wanaongea kwa ufasaha na wanaeleweka sana.
Sasa katika mazingira hayo kama kuna kitu kimahitajika ni "Civil disobedience" mfululizo na hata ikibidi machafuko na fujo...
Systems ovu za binadamu kuna wakati hazibadiliki zenyewe bila hizo collateral damages.
Hivi unafikiri US na wababe wengine wa dunia wanagekuwa hapo walipo bila fujo, ghasia na machafuko??
Vitha ni vitha murah... Kama viongozi hawatusikilizi wakiwa madarakani wasije kutusumbua na maoni lukuki wakishang'atuka!
...
Kama ajira za BOT kipindi kile uliuliza wanakwambia kwani hawana sifa ya kuajiriwa BOT?Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage.
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI ili kuleta mabadiliko kwa minajiri yakunufaisha Watu binafsi.
Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.

Hamna cha kuacha mkuu. Kupaza sauti kwa heshima ni haki yetu.Acha wale tu,,,ni wakati wao sasa
Si lazima awe mzee wa Msoga. Mkuu kuna watu wenye hela zao humu nchini walikuwa wakingoja kanafasi wapenyeze. Hao waki capture State anaweza hata kumtukana askari. Polisi wakati akifanya chochote. Na ukizidi kujifanya wewe uko kazini kesho unasikia umeshuswa cheo ama kufukuzwa. Maana ni Network ya Mabwana WATWANA hawana sauti . Akipiga simu Ikulu. askari anajikuta familia yake inateseka kwa sababu tu amemkamata kigogo. Hii ni hatari sana.Private companies kwetu hayana nguvu, sema hyo state capture imefanywa na mzee wa msoga
By the way si PRIVATE company kama unavyofikiria wewe. Jaribu kuelewa undani wa Mada hii.Private companies kwetu hayana nguvu, sema hyo state capture imefanywa na mzee wa msoga
Rudia kusoma Mada yangu. Si rais ndo anayefanya hivy bali Private entities!Head of State hawezi kufanya state capture.
Anaweza kufanya maamuzi vibaya, lakini hiyo si state capture.
Kusema Head of State kafanya state capture ni sawa na kusema mwenye nyumba kujiibia nyumba yake mwenyewe.
Mwenye nyumba anaweza kuiharibu nyumba yake, lakini hawezi kujiibia nyumba yake. Kwa sababu ni yake tayari.
Atajiibiaje nyumba yake?
Katiba inampa rais haki ya kuteua na kutengua mawaziri anavyotaka.
Rais katumia haki yake hiyo.
Sasa, Rais kutumia haki yake ya kikatiba ni state capture?