ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Unaongea huku jamaa akiwa anakupampia....Hakuna kitu kama hicho wala machafuko. Samia ni rais 2025 hadi 2035. Tutabadili katiba mpya atawale milele atake asitake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea huku jamaa akiwa anakupampia....Hakuna kitu kama hicho wala machafuko. Samia ni rais 2025 hadi 2035. Tutabadili katiba mpya atawale milele atake asitake
Mimi sijui hayo labda unipe jina.Na ile ya Magufuli ya kuteua watoto wa Dada zake, wajomba na mabinamu zake, kabila lake na ukanda wake kwenye nafasi mbalimbali nyeti unaiitaje?
Unamtetea Mwendazake bado unajiita na GT?? BIG shame on you. Lemme tell you upfront, you belong to mediocre minds the so called "Wanyonge". A group that was brainwashed by false propagandaNdiyo maana nikasema naongea na GTs only Ona sasa, unaongelea Mimi kutetea, soma nilicho kiongelea na nioneshe wapi nilipomtetea, misimamo yngu ya kisiasa huijui hivyo usitake kuni force.
Mbona haukumshutumu akiwaweka akina Dotto James kuwa Paymaster General?Naona hunielewi. Nafikiri wewe ni mmoja wa wafaidika. Two WRONGS don't make a RIGHT!!!!
Huyo Dotto unayemsema si mada yangu. Angalia mapana ya Taifa. Usi narrow Ufahamu wako. We unajua maana ya State Capture ama unajibu tu ili usikike?Unamtetea Mwendazake bado unajiita na GT?? BIG shame on you. Lemme tell you upfront, you belong to mediocre minds the so called "Wanyonge". A group that was brainwashed by false propaganda
Mbona haukumshutumu akiwaweka akina Dotto James kuwa Paymaster General?
Watu gani!?? Watanzania hawa hawa!!? Una utani siyo bure??? siwezi ku reason
Naona siwezi ku reason na wewe maana huenda wewe ni mfaidika. Unajua maana ya State Capture?Watu gani!?? Watanzania hawa hawa!!? Una utani siyo bure???
Niruhusu kidogo nitofautiane nawe. Kwa wananchi kuchagua watumishi wa Serikali itakuwa ni vichekesho na aibu. Tunasoma ili kuwa faida kwa wananchi na si kupigiwa kura uwe afisa Elimu. Tatizo kuu ni kuwa nchi inahitaji mabadiliko chanya. Kila kiongozi wa nchi anapoingiza madarakani hafanyi anavyotaka.Hii ya kuteua watendaji wa serikali ndio ina permit self-interest ya mtoa teuzi, ataweka watu wanaomsapoti na sio wenye weledi, viongozi wote wa serikali wawe wanachaguliwa na wananchi kutokana na competence zao, muda wa kuserve wananchi upunguzwe kutoka miaka mitano mpaka miaka mitatu,mtu atafanya kazi kwa bidii akijua ana muda mchache in the office, kuwe na criteria ama guidelines kumeasure performance ndipo tutwkapoendelea....hivi hivi walaaaaa
Sawa kama unaona viongozi wateuliwe na mtu mmoja ambae ukiwa na conflict interest naye huli teuzi kwa heri..Niruhusu kidogo nitofautiane nawe. Kwa wananchi kuchagua watumishi wa Serikali itakuwa ni vichekesho na aibu. Tunasoma ili kuwa faida kwa wananchi na si kupigiwa kura uwe afisa Elimu. Tatizo kuu ni kuwa nchi inahitaji mabadiliko chanya. Kila kiongozi wa nchi anapoingiza madarakani hafanyi anavyotaka.
Duh! Blaalfaken hii imenichekesha sana !! Hahahaha!Vijana bana, mnaongea humu Ila kesho tukisema njooni barabarani tuandamane wote mnageuka kuwa CCM ooh wanatuita tuandamane Ila wao watoto wao hawapo.
Tanzanians you deserve this. Hii ndio maana halisi ya kutawala watanzania na mpo hivyo najua mtanishambulia.
Hapa mnajibaraguza tu Sasa ngoja tuwaambie twendeni vitani wote mnakimbilia sinza kuvaa visuruali vya kubana, blaaaalifaken
Ukipata nafasi kula tu, hakuna mtanzania mwenye guys za kubishana
utakuwa na mimba changa ulioachiwa jitahidi ule maembe mabichi......Hatuwezi kupowa kuanika UFEDHULI alioufanya huyo mungu wenu wa Chato kwa Watanzania. Zitto kabwe alisema last two weeks na Mwingira kasema juzi. Hatupoi mpaka dunia nzima ijuwe kuwa tulikuwa kwenye himaya ya shetani kwa mwaka 2015-20.
Wewe G4rpolitics Fanya yako kwanza hatuombi bando kwako, na muda ni wakwetu. Mbona nyinyi mkimsifu hatuwaingilii? Kila mtu ashinde mechi zake
Nadhani your perspective is right,she is likely part of the state capture system,hasa ukizingatia kwamba ametoka kwenye NGOs ambazo ni part of the state capture system.To me frankly the state is already captured,kwa kuwa hata installation yake as President seems to be pre-arranged.Mwenye akili anaona.Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage.
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI ili kuleta mabadiliko kwa minajiri yakunufaisha Watu binafsi.
Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.
Hawa jamaa akili zao fupi sana......Unamtetea Mwendazake bado unajiita na GT?? BIG shame on you. Lemme tell you upfront, you belong to mediocre minds the so called "Wanyonge". A group that was brainwashed by false propaganda
Mbona haukumshutumu akiwaweka akina Dotto James kuwa Paymaster General?
Je ww umeamini vipi kama hao waliowateuwa ni watu wake?.Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage.
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI ili kuleta mabadiliko kwa minajiri yakunufaisha Watu binafsi.
Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.
Tatzo dunian hakuna mkamilifuTanzania, kama taifa, ina safari ndefu sana! Selfish politicians serving their own selfish bellies at the expense of the masses. Pathetic!
Proved ile itatupa shida sana mbele ya safari. Ilishirikisha wanasiasa wa vyama wengi kuliko wananchi na asasi za kiraia!Ina maana ile iliyopitishwa na bunge la katiba inayosubiri kura tu ya raia (siku Ccm wakipenda) huitaki.
Ulichoandika hapa ndio kawaida duniani kote. Ndiyo hulka ya wanasiasa na watawala duniani. Ndio maana katika demokrasia makini nchi huwa zina mifumo thabiti ya udhibiti (checks & balances, good governance, law & order) inayofanya kazi kwa watu wote na taasisi zote bila upendeleo. No individual is above the law.Tanzania, kama taifa, ina safari ndefu sana! Selfish politicians serving their own selfish bellies at the expense of the masses. Pathetic!
State capture inaondolewa siku zote na wananchi,kwa kesi ya Tz...wananchi bado sana wako kwenye usingizi mzitoKulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?