Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Umelete hoja nzuri... Tatizo ni uelewa wala si maandamano. Waelewesheni watu waelewe kwanini mnataka waandamane...Vijana bana, mnaongea humu Ila kesho tukisema njooni barabarani tuandamane wote mnageuka kuwa CCM ooh wanatuita tuandamane Ila wao watoto wao hawapo.
Tanzanians you deserve this. Hii ndio maana halisi ya kutawala watanzania na mpo hivyo najua mtanishambulia.
Hapa mnajibaraguza tu Sasa ngoja tuwaambie twendeni vitani wote mnakimbilia sinza kuvaa visuruali vya kubana, blaaaalifaken
Ukipata nafasi kula tu, hakuna mtanzania mwenye guys za kubishana
Kingine jipambanueni ili wananchi wawaelewe vizuri!
Ninaposema wananchi namaanisha wale wa vijijini!