- Thread starter
- #81
Kuna msemo usemao "Usipojifunza kutokana na makosa uliyokosea.Walishajihakikishia ulinzi wa vyombo vya dola kwa hiyo wanafanya vyovyote watakavyo.......
Walishajihakikishia ulinzi wa vyombo vya dola kwa hiyo wanafanya vyovyote watakavyo.......
Huo ni msemo uliwahi kusemwa na mtu. Mmoja DewyFailure is instructive. The person who really thinks learns quite as much from his failures as from his successes.
Nani alikua na ulinzi na bunduki kuliko Bashir?
Yuko wapi?