bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Habare comrades
Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa inayotokea kwa serikali na kwa jamii pale binti mwanafunzi anapopata mimba, mimi napenda kuangalia upande wa pili wa hili suala kwa kutumia kipimo cha binadamu kama mnyama ambapo mawazo yangu nayakusanya kama ifuafuatayo.
BINADAMU NI MNYAMA
Kwanza kabisa kabla ya yote yapaswa kutambua ya kuwa binadamu ni mnyama kama wanyama wengine, embu fikiria hapo kale binadamu alipokuwa mwituni pasipo kuwa kwa serikali wala dini alifanya nini haswa, utapata majibu kwamba shughuli yake ilikuwa ni kula , kuzungumza, kujamiana na kulala kasha rudia tena. Sasa miundo ya kijamii ikamtoa huyu mnyama porini kisha ikamvisha nguo , ikampa sheria, ikampangia utaratibu wa maisha nje ya mifumo awali ya kula na kuzaa.
Kwa kuwa binadamu katolewa kwenye mazingira yake ya asili na kufanyizwa kuishi maisha ya bandia hali hii imepelekea baathi kuwepo kwa dielema katika baathi ya mambo yanayohusu maisha hasa pale mtoto wa kike anapotambua kuwa ilimpasa awe mke wa mtu na sio mwanafunzi kwani mambo yote ya kikubwa anajua na anaweza. Hivyo kulingana na mtota ana papara kiasi gani atatimiza lengo lake kwa namna moja au nyingine.
MASHUJAA WASIOTHAMINIKA
Kwa hawa mabinti hakika ni mashujaa kwa binadamu kama mnyama kwani kushika kwao mimba licha ya kuambiwa maneno mengi ya kufanya wasaliti asili ya mwanadamu na watu wanao waeshimu ni ishara tosha kwamba spirit ya mwanadamu bado ipo hai. Itakuwa ni ishara mbaya kwa taifa pale ambapo mabinti watakuwa hawashiki mimba hio itakuwa ni alama ya taifa kufariki. Kuna nguvu juu ya mwanadamu licha ya mwanadamu kujisifu kuwa na uelewa Zaidi ya mnyama pale mabinti waposhika mimba licha ya uwepo mifano halisi ya wenzao jinsi walivyonyanyapaliwa ni jinsi mnyama anavyodhilisha uwepo wake. Hawa ni mashujaa dhidi ya maisha ya kisasa yanavyoiba mda wa mwadamu kwa kumweka darasani Zaidi ya miaka ishirini Badala ya kufurahia maisha yake kipindi ana nguvu zote kabla hajazeeka.
BALEHE
Hichi kipindi cha mpito kuelekea utu uzima kina athiri watu tofauti kutokana na katiba za miili yao. Sasa kuna wenzetu ambao miili yao kwa namna moja au nyingine inazalisha homoni nyingi kupita kiasi ambacho inafanya inakuwa ngumu kuzuia hisia kali za kujamiana. Watu hawa hamna haja ya kuwalaumu kwa kuwa walilevywa na miili yao. Ingekuwa jambo la mbolea kufanya tafiti kujua kinini kinafanya wawe wametangulia hivyo na kuwa na umahiri kwenye ngono katika umri mdogo tafiti hizi zingesaidia kwa watu wanaohangaika na uzazi ukubwani.
Wajinga: katika balehe itambulike pia ni kipindi ambako mtoto angependa kufanya maamuzi yake mwenyewe na inapaswa mzazi amsimamie na asimwingilie kwenye maamuzi kwani ni kipindi chake muhimu cha kujifunzaa kufanya maamuzi yake binafsi. Kuna watoto wenye upeo mdogo wa mambo hivyo hufanya matendo kutokana na upeo wao mdogo kama wangekuwa na mkubwa wasingefanya huwezi washutumu kwa kosa ambalo lipo nje ya upeo wao wao.
Kutokana na maelezo niliyotoa tunakuja kuona muundo ufuatao katika mawazo yangu.
Hivyo basi kutokana na mitiriko wa mawazo hamna haja ya kuwa na jazba juu ya swala hili kwani ni la kiasili kushutumu au kukasirika juu ya jambo hili ni kukana uasili wa mwanadamu. Kama mabinti ilibidi wasishike mimba wakiwa wanasoma basi wangezaliwa na kalamu na vitabu. Na juu ya kutengeneza shule binafsi kwa ajili yao ni kuongeza gharama za uendeshaji siziso za msingi kwa nchi yetu masikini inayohitaji mkopo benki ya dunia ili ifanye mambo ya msingi juu ya elimu. Shauri la kuwa na shule binafsi linatekelezeka kwa nchi ambazo zina uchumu imara na sio sisi ambapo walimu hawatoshi na kuwagawa tena ni kupunguza ufanisi kwa walimu wachache ambao wapo.