macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Unaweza kuwa hata wewe huko sahihi sana kama unavyodhani. Nina maana jamaa unayem-challenge naye anaweza kuwa yuko sawa.Kwanini MacBook sio PC?
PC (Personal Computer)
Laptops na Desktops zote ni Pc
Macbook ni laptop na laptop ni Pc😂
Watu wengi hizi terminology zinawachanganya.
Kuna watu wanadhani PC ni computer mpakato tu.
Kuna watu wanadhani PC ni computer zinazotumia windows OS tu.
PC (personal computer) - Ni aina ya kundi la computer zilizotengenezwa mahususi kwa matumizi ya watu wa kawaida, isiyohitaji utaalam maalum kuiendesha.
Kuna super computers na aina nyingine tofauti ambazo zina ngazi maalum ya utumizi na zinahitaji utaalam maalum, hivyo aina kama hizi hatuwezi kuziita PC.
Nimeandika kwa urefu kuwafungua macho na wengine waliochangwanywa na majina hayo👍
Hii nimei-quote kutoka website fulani. Na uki-google, kuna wengi tu wanakubali term ''PC'' limebadilika kutoka Personal Computer na kuwa Microsoft Windows based computers.
The term PC has taken on two meanings in the realm of computers, and while they are related, they have exclusive definitions.
Originally, PC was an abbreviation for "Personal Computer." In this context, any computer designed for personal use by a person can be considered a PC or a personal computer. Computers used in the home or the office are considered personal computers. By this definition, a Mac computer is a PC. A Mac is designed for personal use and is a computer, so that makes it is a PC.
However, when IBM introduced their first computer in August 1981, model number 5150, the term PC became something more specific. From that point on, the PC became a reference to IBM-compatible computers. Today, when PC is used to talk about a computer, it usually is referring to an IBM-compatible computer. By this definition, a Mac computer is not a PC, as it is not IBM-compatible.
PC is still an abbreviation for personal computer at times, however, in most cases it is referring to the IBM-compatible type of computer. While a Mac is considered a personal computer, it is not a "PC" in the specific sense that it doesn't run Microsoft Windows.