Next Elon Musk
Senior Member
- Dec 2, 2019
- 115
- 87
Wenyewe manufacturers wanakwambia walau upgrade to m1 based MacBook, because of performance na ecosystemNdo maana nikasema at least kulingana na uwezo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe manufacturers wanakwambia walau upgrade to m1 based MacBook, because of performance na ecosystemNdo maana nikasema at least kulingana na uwezo wake
TenaKwanza, MacBook sio PC ni MacBook/Mac
Why are you contradicting yourself?Tatu, ni computer nzuri sana
Tena
Why are you contradicting yourself?
My dear member hata simu ni computer. Becsuse it do computation!
Yes but it cannot perform complex tasks and algorithms
Hizo kauli is all about business tuWenyewe manufacturers wanakwambia walau upgrade to m1 based MacBook, because of performance na ecosystem
Aya nunua MacBook core Intel 2012 weka adobe ai 2023Hizo kauli is all about business tu
Zingatia maelezo ya mleta mada, kwa hiyo MacBook ya 2012 inamfaa sana, angeleta mambo ya masuala ya graphics ningemshauri tofautiAya nunua MacBook core Intel 2012 weka adobe ai 2023
NiceKwanza, MacBook sio PC ni MacBook/Mac.
Pili, Ms Access huwezi kutumia wa MacBook labda uweke window.
Tatu, ni computer nzuri sana, japo mwanzoni itakuboa kiaina hasa ukikutana na restrictions ambazo mwanzo ulikua una tiririka tu, pia navigation tofauti kabisa. Ila ukiizoea hutataka kuhama kabisa.
Honestly, I fell in love with MacBook (japo natumia techno).
Kwenye laptop wako vizuri sanakwa upande wa computer apple wanaupiga mwingi.
Kweli kabisa tayari ninayo ila nakua sipati vitu kadhaa kama bado inadai vile 😂Nice
Kuna wengine tunapenda MacBook ila tunachukia iPhones
Na MacBook ukitaka uenjoy kiundani zaidi inabidi uwe na iPhone
Ndege wa rangi moja huruka pamoja.Nice
Kuna wengine tunapenda MacBook ila tunachukia iPhones
Na MacBook ukitaka uenjoy kiundani zaidi inabidi uwe na iPhone
Anunue kuanzia mwaka 2018Macbooks ni nzuri imara, battery zinadumu.
Ila hakikisha unanua kuanzia core i5 mwaka kuanzia 2017 na kuendelea, ukipata macbook pro ni safi zaidi.
Nilinunua Macbook Pro 13" ya M1 mwaka 2021. Naitumia mpaka sasa, no regrets, battery performance same as day one. Katika laptops apple wako vizuri sanaAnunue kuanzia mwaka 2018
Maana mie nilinunuaga ya 2010 ikawa inanletea mazing zong kwa maana waliacha kutoa update ghafla ikakata sauti mpaka utumie headset
Kweli kabisa mkuu hai stuck haiishi chaji that thing is the beast tbhNilinunua Macbook Pro 13" ya M1 mwaka 2021. Naitumia mpaka sasa, no regrets, battery performance same as day one. Katika laptops apple wako vizuri sana
Sent from my SM-S918B using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa naitaji kununua macbook maana pc yangu imealibika naitaji kwamatumizi ya kawaida tu kama ku download movies kusikiliza music kucheki mpira online sielewi kila muuzaji ananishauri vyake mwingine anasema macbook pro 2020 core i5 mwingine macbook air 2020 core i3 mwingine macbook pro 2019 core i9 mwingine macbook air 2020 core m1 wananishauri kulingana na bajeti yangu unaweza kunishauli kulingana namatumizi yangu hayo macbook gani inanifaa kwahata miaka 5 mbele1. Battery
Ndio Macbook zinakaa na chaji sana ila utofauti ni mdogo hasa toka Rembrandt (ryzen 6000 series) na 12th gen zitoke.
Hii machine ya intel inabrowse masaa zaidi ya 14 internet, ni kama Tablet tu imepitwa kidogo na Macbook utofauti ni asilimia 8 tu
2. Perfomance zimeshapitwa Macbook, cpu kama Ryzen 6800U inatumika hadi kwenye handheld gaming pc ina cpu na gpu nzuri zaidi kuliko M1, M2 sijacheki ila pia kuna possibility kubwa haifikii. Na hii ni zen 3 artchitechture, zen 4 imetoka kwenye desktop tayari na rdna 3 graphics soon zinakuja kwenye laptop.
Intel nayo pia wana cpu nzuri gen ya 12 imeipita M1 sema intel hana gpu nzuri kuifikia M1 inabidi machine iwe paired na Nvidia gpu. Zipo machine hadi $500 zenye I3 12th gen na Mx550 nvidia.
3. Design kila mtu na anachopenda ila utofauti wa hao kina spectre, xps na wengineo ni mdogo sana, uki click hio link utaiona hio xps ni chembamba sana na chepesi kama KG 1. 1 tu wakati Air ni 1.2kg na ukienda brand zinazospecialise kwenye wepesi kama LG gram unapata nyepesi zaidi. Zina vioo vikali nyengine hadi 4k oled wakati kwenye Mac unakuta macroled na nyengine zina bleeding issues.
Sema bajeti yako ni kiasi gani.Chief-Mkwawa naitaji kununua macbook maana pc yangu imealibika naitaji kwamatumizi ya kawaida tu kama ku download movies kusikiliza music kucheki mpira online sielewi kila muuzaji ananishauri vyake mwingine anasema macbook pro 2020 core i5 mwingine macbook air 2020 core i3 mwingine macbook pro 2019 core i9 mwingine macbook air 2020 core m1 wananishauri kulingana na bajeti yangu unaweza kunishauli kulingana namatumizi yangu hayo macbook gani inanifaa kwahata miaka 5 mbele
Njoo nikuuzie MACBOOK pro 2017 15"Chief-Mkwawa naitaji kununua macbook maana pc yangu imealibika naitaji kwamatumizi ya kawaida tu kama ku download movies kusikiliza music kucheki mpira online sielewi kila muuzaji ananishauri vyake mwingine anasema macbook pro 2020 core i5 mwingine macbook air 2020 core i3 mwingine macbook pro 2019 core i9 mwingine macbook air 2020 core m1 wananishauri kulingana na bajeti yangu unaweza kunishauli kulingana namatumizi yangu hayo macbook gani inanifaa kwahata miaka 5 mbele
Mwisho 5m boss ungeangalia hizo nilizoshauliwa ndoungejua bajeti nilionayoSema bajeti yako ni kiasi gani.
Zipo MacBook mpaka za 12 mil.!
Kwahiyo pesa chukua MacBook Pro mpya yenye chip ya M2, disk size kuanzia 512GB.Mwisho 5m boss ungeangalia hizo nilizoshauliwa ndoungejua bajeti nilionayo
Kwa hii budget mkuu tafuta zenye M1/M2/M3 series.Mwisho 5m boss ungeangalia hizo nilizoshauliwa ndoungejua bajeti nilionayo
Asante kwa mawazo yako...Kama ni yakupigia kazi achana na Mac Book nunua i mac
Macbook nyingi ni dhaifu sana zinaanza kufa port za usb ambazo mara nyingi zimeungana na motherboard
Na pia zinatabia ya kupiga shot wire za charge
Ni rahisi Hp ku-survive kwa miaka hata 10 kuliko Mac na hali itakayokuwa nayo
Pia vifaa vya Mac ni expensive sana kuliko Pc
Faida zake zina Graphic Card nzuri kwa wale wa editing na utasahau mambo ya Virus.