Je! Macbook itanifaa?

Je! Macbook itanifaa?

Kwanza, MacBook sio PC ni MacBook/Mac.

Pili, Ms Access huwezi kutumia wa MacBook labda uweke window.

Tatu, ni computer nzuri sana, japo mwanzoni itakuboa kiaina hasa ukikutana na restrictions ambazo mwanzo ulikua una tiririka tu, pia navigation tofauti kabisa. Ila ukiizoea hutataka kuhama kabisa.

Honestly, I fell in love with MacBook (japo natumia techno).
Nice
Kuna wengine tunapenda MacBook ila tunachukia iPhones
Na MacBook ukitaka uenjoy kiundani zaidi inabidi uwe na iPhone
 
Anunue kuanzia mwaka 2018
Maana mie nilinunuaga ya 2010 ikawa inanletea mazing zong kwa maana waliacha kutoa update ghafla ikakata sauti mpaka utumie headset
Nilinunua Macbook Pro 13" ya M1 mwaka 2021. Naitumia mpaka sasa, no regrets, battery performance same as day one. Katika laptops apple wako vizuri sana

Sent from my SM-S918B using JamiiForums mobile app
 
1. Battery
Ndio Macbook zinakaa na chaji sana ila utofauti ni mdogo hasa toka Rembrandt (ryzen 6000 series) na 12th gen zitoke.

Hii machine ya intel inabrowse masaa zaidi ya 14 internet, ni kama Tablet tu imepitwa kidogo na Macbook utofauti ni asilimia 8 tu

2. Perfomance zimeshapitwa Macbook, cpu kama Ryzen 6800U inatumika hadi kwenye handheld gaming pc ina cpu na gpu nzuri zaidi kuliko M1, M2 sijacheki ila pia kuna possibility kubwa haifikii. Na hii ni zen 3 artchitechture, zen 4 imetoka kwenye desktop tayari na rdna 3 graphics soon zinakuja kwenye laptop.

Intel nayo pia wana cpu nzuri gen ya 12 imeipita M1 sema intel hana gpu nzuri kuifikia M1 inabidi machine iwe paired na Nvidia gpu. Zipo machine hadi $500 zenye I3 12th gen na Mx550 nvidia.

3. Design kila mtu na anachopenda ila utofauti wa hao kina spectre, xps na wengineo ni mdogo sana, uki click hio link utaiona hio xps ni chembamba sana na chepesi kama KG 1. 1 tu wakati Air ni 1.2kg na ukienda brand zinazospecialise kwenye wepesi kama LG gram unapata nyepesi zaidi. Zina vioo vikali nyengine hadi 4k oled wakati kwenye Mac unakuta macroled na nyengine zina bleeding issues.
Chief-Mkwawa naitaji kununua macbook maana pc yangu imealibika naitaji kwamatumizi ya kawaida tu kama ku download movies kusikiliza music kucheki mpira online sielewi kila muuzaji ananishauri vyake mwingine anasema macbook pro 2020 core i5 mwingine macbook air 2020 core i3 mwingine macbook pro 2019 core i9 mwingine macbook air 2020 core m1 wananishauri kulingana na bajeti yangu unaweza kunishauli kulingana namatumizi yangu hayo macbook gani inanifaa kwahata miaka 5 mbele
 
Sema bajeti yako ni kiasi gani.

Zipo MacBook mpaka za 12 mil.!
 
Chief-Mkwawa naitaji kununua macbook maana pc yangu imealibika naitaji kwamatumizi ya kawaida tu kama ku download movies kusikiliza music kucheki mpira online sielewi kila muuzaji ananishauri vyake mwingine anasema macbook pro 2020 core i5 mwingine macbook air 2020 core i3 mwingine macbook pro 2019 core i9 mwingine macbook air 2020 core m1 wananishauri kulingana na bajeti yangu unaweza kunishauli kulingana namatumizi yangu hayo macbook gani inanifaa kwahata miaka 5 mbele
Njoo nikuuzie MACBOOK pro 2017 15"
16gb SSD 256(OPTIONAL)
kwa 2.2 mln picha nitakuwekea jioni
Nikirudi nyumbani
Kama upo interested njoo PM tumalize bei inaongeleka usiogope
 
Mwisho 5m boss ungeangalia hizo nilizoshauliwa ndoungejua bajeti nilionayo
Kwa hii budget mkuu tafuta zenye M1/M2/M3 series.

Matumizi yako uliyotaja ni madogo, kama unataka kusave M1 siku hizi mpya mpaka $700 unapata, itafanya yote hayo.

Otherwise nenda Direct M3 series ambazo ndio zimetoka, ili kupata future proof Macbook air yenye 16GB ram inaanzia $1700.
 
Kama ni yakupigia kazi achana na Mac Book nunua i mac

Macbook nyingi ni dhaifu sana zinaanza kufa port za usb ambazo mara nyingi zimeungana na motherboard

Na pia zinatabia ya kupiga shot wire za charge

Ni rahisi Hp ku-survive kwa miaka hata 10 kuliko Mac na hali itakayokuwa nayo

Pia vifaa vya Mac ni expensive sana kuliko Pc

Faida zake zina Graphic Card nzuri kwa wale wa editing na utasahau mambo ya Virus.
Asante kwa mawazo yako...
Kompyuta zipi za Hp ni nzuri mkuu
 
Back
Top Bottom