Je! Macbook itanifaa?

Je! Macbook itanifaa?

Mrejesho.

Nimenunua mac ya 2013.

Sijutii hata kidogo aisee iko bomba sana, nimependa shortcut zake na kuhusu mambo ya writing iko bomba sana, kukaa na charge, inajiongeza sana hata kitu kiwe kipya vipi inakupa maelekezo sio kama window PC, kama gari tu, PC ni manua car ila mac ni auto.

View attachment 2401005
wapo watu walinambia ni ngumu kutumia akiwemo muuzaji mmoja wa PC[emoji23] sema hakuna kifaa kinachorahisisha kazi kama hii mashine ya sasa nlokuwa nayo.

Nawashukuru pia kwa wote mliotoa maelezo kuhusu mac.

Ukweli ni kwamba nilichelewa sana ila kule sitamani kurudi aisee[emoji23][emoji23]
Mkuu inakaa na chaji kwa MDA Gani?,,
Kuna application yoyote unalipia?
 
Mrejesho.

Nimenunua mac ya 2013.

Sijutii hata kidogo aisee iko bomba sana, nimependa shortcut zake na kuhusu mambo ya writing iko bomba sana, kukaa na charge, inajiongeza sana hata kitu kiwe kipya vipi inakupa maelekezo sio kama window PC, kama gari tu, PC ni manua car ila mac ni auto.

View attachment 2401005
wapo watu walinambia ni ngumu kutumia akiwemo muuzaji mmoja wa PC[emoji23] sema hakuna kifaa kinachorahisisha kazi kama hii mashine ya sasa nlokuwa nayo.

Nawashukuru pia kwa wote mliotoa maelezo kuhusu mac.

Ukweli ni kwamba nilichelewa sana ila kule sitamani kurudi aisee[emoji23][emoji23]
Mkuu nikichukua tolea la 2017 itakua poa , au nitakua nimezingua ?
Natamani hizi Mac nazielewa sana sijawahi kutumia pia
 
Back
Top Bottom