johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa bwashee!Kamanda mdee mbona alishawapa za uso hao chademaa?? Madiwani walisha apaa toka siku nyingi, wakiongozwa na mbunge wa nkasi vijijini Aida kenani, hivyo uchaguzi ulikuwa huru na wahakiii. Aliendelea kusema kuwa wabunge waviti malumu nishariti wapelekwe bungeniii harakaaa.
Kwahiyo hakunaga madiwani wa viti maalumu?Kumbe madiwani nao ni viti maalum! Tueleze nani aliwateua na kupeleka majina.
Mimi nilikuwa najua madiwani hupigiwa kura na wananchi, sijui kama akina Halima tuliwapigia kura, watanzania tusipende kuchanganya mambo ilimradi tipate kosa!
Wapo madiwani wa kuchaguliwa na wa viti maalum kama ilivyokuwa kwa wabunge...Kumbe madiwani nao ni viti maalum! Tueleze nani aliwateua na kupeleka majina.
Mimi nilikuwa najua madiwani hupigiwa kura na wananchi, sijui kama akina Halima tuliwapigia kura, watanzania tusipende kuchanganya mambo ilimradi tipate kosa!
Hebu tuambie utaratibu unaotumika kuwapata madiwani wa viti maalum!Wapo madiwani wa kuchaguliwa na wa viti maalum kama ilivyokuwa kwa wabunge...
Wa viti maalum bado wakati wake.Kwahiyo hakunaga madiwani wa viti maalumu?
Wewe Bavicha ni bure kabisa!
Kwani ni nani kawapeleka?Kamanda mdee mbona alishawapa za uso hao chademaa?? Madiwani walisha apaa toka siku nyingi, wakiongozwa na mbunge wa nkasi vijijini Aida kenani, hivyo uchaguzi ulikuwa huru na wahakiii. Aliendelea kusema kuwa wabunge waviti malumu nishariti wapelekwe bungeniii harakaaa.
Mwenyekiti wako wachama, halafu baada ya kuona sekeseke la wanachama wake, akaamua kujifanya anawaruka majoka wateule walee. Haaa haaaaaa. Maigizo mengine bwaaanaaaKwani ni nani kawapeleka?
unauhakika kuwa bado wakati wake?Wa viti maalum bado wakati wake.
Kumbe madiwani nao ni viti maalum! Tueleze nani aliwateua na kupeleka majina.
Mimi nilikuwa najua madiwani hupigiwa kura na wananchi, sijui kama akina Halima tuliwapigia kura, watanzania tusipende kuchanganya mambo ilimradi tipate kosa!
Madiwani gani? Walipata hata madiwani?Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema wanakula kiapo kuitumikia serikali hiyo hiyo ya Rais Magufuli.
Ndiposa nauliza, madiwani wa Chadema wamekula viapo vya uaminifu huko kwenye halmashauri?
Maendeleo hayana vyama!
Arusha yupo!Madiwani gani? Walipata hata madiwani?
Madiwani gani? Walipata hata madiwani?
Basi wekeni hivyo vielelezo hadharani, ili 'mlifunge na kulimaliza' kabisa swala hili, badala ya watu wenu akina Mahera kushinda wanajikanyaga.Mwenyekiti wako wachama, halafu baada ya kuona sekeseke la wanachama wake, akaamua kujifanya anawaruka majoka wateule walee. Haaa haaaaaa. Maigizo mengine bwaaanaaa
Kumbe madiwani nao ni viti maalum! Tueleze nani aliwateua na kupeleka majina.
Mimi nilikuwa najua madiwani hupigiwa kura na wananchi, sijui kama akina Halima tuliwapigia kura, watanzania tusipende k
uchanganya mambo ilimradi tipate kosa!b
Halima anawachezea akili. Waliyokula kiapo ni madiwani wa kuchaguliwa kama alivyokula kiapo mbunge aidah khenani wa kuchaguliwa. Halima anajidai haelewi kama kosa laoyeye na genge lake ni namna walivyofika kuapa bungeni viti maalum kinyume na utaratibu wa uteuzi wa chadema.Kamanda mdee mbona alishawapa za uso hao chademaa?? Madiwani walisha apaa toka siku nyingi, wakiongozwa na mbunge wa nkasi vijijini Aida kenani, hivyo uchaguzi ulikuwa huru na wahakiii. Aliendelea kusema kuwa wabunge waviti malumu nishariti wapelekwe bungeniii harakaaa.