Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Hii ndiyo hoja ya msingi kwa mtu anayejiita "Great Thinker" Kama mchakato ndani ya chama ungefanyika, hakungekua na mijadara juu ya hivi "viti maalumu".Kwani ni nani kawapeleka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo hoja ya msingi kwa mtu anayejiita "Great Thinker" Kama mchakato ndani ya chama ungefanyika, hakungekua na mijadara juu ya hivi "viti maalumu".Kwani ni nani kawapeleka?
Kwa nini hao unaowaita wateule wasimwage mboga kama hilo unalosema lipo?Mwenyekiti wako wachama, halafu baada ya kuona sekeseke la wanachama wake, akaamua kujifanya anawaruka majoka wateule walee. Haaa haaaaaa. Maigizo mengine bwaaanaaa
Mbona walishamwaga siku nyingiii. Kwakuwa ni dili lao la pamoja waliamua kusiriana kiainaKwa nini hao unaowaita wateule wasimwage mboga kama hilo unalosema lipo?
Atuchezeeee akili sisi tuliomgaragaza kawe, anawachezea nyie wana kikundi kimojaaa.Halima anawachezea akili. Waliyokula kiapo ni madiwani wa kuchaguliwa kama alivyokula kiapo mbunge aidah khenani wa kuchaguliwa. Halima anajidai haelewi kama kosa laoyeye na genge lake ni namna walivyofika kuapa bungeni viti maalum kinyume na utaratibu wa uteuzi wa chadema.
Basi wekeni hivyo vielelezo hadharani, ili 'mlifunge na kulimaliza' kabisa swala hili, badala ya watu wenu akina Mahera kushinda wanajikanyaga.
Halima anawachezea akili. Waliyokula kiapo ni madiwani wa kuchaguliwa kama alivyokula kiapo mbunge aidah khenani wa kuchaguliwa. Halima anajidai haelewi kama kosa laoyeye na genge lake ni namna walivyofika kuapa bungeni viti maalum kinyume na utaratibu wa uteuzi wa chadema.
Hao madiwani ni wa hapohapo wakitoka nje ya mji hawatambuliki hivyo hawawezi kuapishwa na spika.Kwahiyo hakunaga madiwani wa viti maalumu?
Wewe Bavicha ni bure kabisa!