Je, madiwani wa Chadema wanaapishwa na kuendelea na kazi kama alivyosema Halima Mdee?

Kwani ni nani kawapeleka?
Hii ndiyo hoja ya msingi kwa mtu anayejiita "Great Thinker" Kama mchakato ndani ya chama ungefanyika, hakungekua na mijadara juu ya hivi "viti maalumu".
 
Mwenyekiti wako wachama, halafu baada ya kuona sekeseke la wanachama wake, akaamua kujifanya anawaruka majoka wateule walee. Haaa haaaaaa. Maigizo mengine bwaaanaaa
Kwa nini hao unaowaita wateule wasimwage mboga kama hilo unalosema lipo?
 
Atuchezeeee akili sisi tuliomgaragaza kawe, anawachezea nyie wana kikundi kimojaaa.
 

Shida ni kwamba chama hakiutambui huo uchaguzi uliowapa ushindi hao madiwani! Au chama kinatambua matokeo yaliyowapa ushindi wagombea wake, lakini hakitambui matokeo yaliyowapa ushindi wagombea wa vyama vingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…