Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #121
Changamoto ya Mafia ni usafiri wa uhakika. meli na kivuko kilichopo ratiba ya usafiri inaamuliwa na maji ya bahari kujaa.
Ratiba ya meli kutoka huku mafia kwenda nyamisati hufanyika usiku mnene kuanzia saa 6 usiku, saa 7 usiku hadi saa 9 usiku. Mabaharia wanadai ni kutokana na mkondo
Kukiwa na usafiri wa meli bado mtategemea na tabia ya bahari au ni kutokana na vifaa duni