Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
-
- #121
Changamoto ya Mafia ni usafiri wa uhakika. meli na kivuko kilichopo ratiba ya usafiri inaamuliwa na maji ya bahari kujaa.
Ratiba ya meli kutoka huku mafia kwenda nyamisati hufanyika usiku mnene kuanzia saa 6 usiku, saa 7 usiku hadi saa 9 usiku. Mabaharia wanadai ni kutokana na mkondo
Punguza umalaya mkuukuna pub zenye pisi kali km cossovo na nyingine nyingi, ni kibunda yako tu
Mkuu vipi mafia kuna mademu wazuri? Je vipi maadili yao wanavaa vimini na kukosa adabu kama wa huku au wao wana adabu wametulia?Wenye maswali kuhusu Mafia uliza hapa ujibiwe, niko Mafia kikazi.
Usafiri kuna meli Mv songosongo inamilikiwa na Jeshi ina uwezo wa kubeba abiria 200+. Kuna kivuko Mv Nyamisati kinamilikiwa na Serikali kinabeba abiria 200 na mizigo tani 100.
Barabara ya lami ipo kutoka bandarini hadi Utende, kuna nyingine inawekwa lami sasa.
Nikiwa na laki 5 ninawesa kukaa siku 3 kwenye hotel nikaenjoy maisha baada hizo nikarudi dar?kuna hotel hadi za milin 100 mkuu, na kuna guest za 10,000. Samaki ni wengi, msosi siyo haba
Nikiwa na laki 5 ninawesa kukaa siku 3 kwenye hotel nikaenjoy maisha baada hizo nikarudi dar?
katika uvaaji wanazingatia maadili ya kiislamu. Ukiona binti kavaa hovyo ujue ni bar maid au katoka baraMkuu vipi mafia kuna mademu wazuri? Je vipi maadili yao wanavaa vimini na kukosa adabu kama wa huku au wao wana adabu wametulia?
Nipo kwenye harakati za kutafuta mke
Vipi ni mademu wazuri au ni kama mademu wa kanda ya ziwa?katika uvaaji wanazingatia maadili ya kiislamu. Ukiona binti kavaa hovyo ujue ni bar maid au katoka bara
Hapa mafia ?
Vipi ni mademu wazuri au ni kama mademu wa kanda ya ziwa?
Sanakwan kanda ya ziwa kuna mademu wabaya
Hapana mi wa Madongo kuporomoka huku Zanzibar ndio wapi huko?? [emoji848]
Sana
Kwa upande wangu sijawahi kuwaelewa madem wa kanda ya ziwa mkuuTutake radhi mkuu,,, mbona kuna pisi kali sana huku
Kwa laki tano unakaa mwezi mzimaNikiwa na laki 5 ninawesa kukaa siku 3 kwenye hotel nikaenjoy maisha baada hizo nikarudi dar?
mmeanza kupapromote
Uko samaki bei cheee kabisaKwa laki tano unakaa mwezi mzima