Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Duh mafia imefika hapo nimeishi mafia miaka 90 Mambo hayo hayakuwepo kabisa
 
Liwale kupo kushoto kabisa ndo wilaya ya mwisho kwa maendeleo Lindi iko mbali sana na wilaya nyingine
Ni kweli ila miaka 10 mbele itakuja kuzipita na kuongoza kimkoa maana inakua na ina fursa mhimu kama kilimo, madini na biashara weengoja miundombinu ikae sawa na uinganishwe na moro kwa barabara kisha uone inavyopaa
 
Yawezekana mkuu!!
fursa zinafunguliwa na miundo mbinu
 
Hiki kisiwa sijui hata kama serikali huwa inakumbuka kama kipo

Wakat huku wangekifufua kwa kukiwekea budget kubwa kuliko mikoa ya bara, miundo mbinu ya kutosha kingetisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…